Wa wizara ya afya

tumefunga office mpaka jtatu utayapata kwenye net au daily news, mwananchi.hukutaka kuamini toka mwanzo.

Uwe mkweli usiseme tumefunga office,kama hujui kaa kimpya na utaonekana una maana kuliko kurusha watu roho.
 
Sasa km jtatu na kuwa ww ni mkweli kabisa tunakuomba uje hapa JF utuhabarishe.
 
Kwa wale wote tunaosubiri majibu kutoka wizarani na kwa kuwa wizara ina website tuangalia huko na kwa wale waliokaribu au mtu wa karibu atamwangalizi kuliko kudanganywa kila siku.
 
Yan kusubiri selection za serikali bora hata m2 kama una uwezo uende private mana n waswahil kupta kiasi hv wanavyochelewesha namna hii mkikosa sa hv mtaenda kuaply chuo gan? Hafu kla sku wafanyakaz wa wizara wanaenda kazn hv wanaenda kufanya nin km kaz ya selection2 imewashnda
 
gari la waziri lilikuwa limeharibika na vifaa vya vx ni ghali xo wakaamua warambe pesa yenu watengeneze gari na fomu, msafisha masijala a.k.a registry alizimwagia maji machafu kwa hyo kwakuwa pale ni usafi mwanzo mwisho, wakazitupa. MMELIWA WAMELAMBA
 
Back
Top Bottom