Wa wizara ya afya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wa wizara ya afya

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Michael Bosco, Oct 11, 2012.

 1. Michael Bosco

  Michael Bosco Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Sasa hii imekuwa to much maana tumekaa banch mpaka tumechoka sa nahisi mpaka viwango vya watu vimepungua kwa ajili ya strees ngoja tu tusubiri mpaka hiyo tar. 15 kama ni kweli maana tumezoea kupigwa kalenda ila ingekuwa wtoto wao wangewahisha
   
 2. e

  emmanuel magige Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mie nasikia wanatoa ijumaa ya leo ndo nasikilizia.
   
 3. Ben40

  Ben40 Senior Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Leo website yao imefunguka ila haina kipya chochote.
   
 4. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133

  Kijana eleza ueleweke, mbona unaleta mafumbo hapa? Kama ni issue inayowahusu ninyi wenyewe basi mngeizungumzia kwenye kijiwe chenu. Express your self!

   
 5. r

  rombo girl Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ww unaonekana huelewi somo.kisichoeleweka nikipi?kama huna cha kusema kazome kama chadema.
   
 6. Michael Bosco

  Michael Bosco Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  ndo hvyo mpaka sa hvi kimya
   
 7. Michael Bosco

  Michael Bosco Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  ndo hapo wanapoboa but we hve to wait
   
 8. r

  rombo girl Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watoa tu.mpaka jtatu yatakua tayari Ila kama una haraka njoo wizarani tumeyabandika tayari.
   
 9. e

  emmanuel magige Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Plz, sema kwel.
   
 10. r

  rombo girl Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka huamini au hutaki kuamini,sikushangai matomaso ni wengi duniani.njoo wizarani uangalie au piga namba ya wizara alafu usikie wanajibu nini.
   
 11. A

  AFALLY Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha kuzingua watu, nipo wizara na hakuna chochote.
   
 12. r

  rombo girl Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  upo wizara ya wapi ya ulinzi.kwani wamekwambia nini?
   
 13. r

  rombo girl Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  upo wizara ya ulinzi?au ipi ambapo hakuna kitu.sema jina nikuangalizie.
   
 14. A

  AFALLY Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wizara ya maliasili
   
 15. r

  rombo girl Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona unajichangaya.sasa toka lini mambo ya afya yakawe maliasili.unaelewa kinacho zungumziwa lakni.?
   
 16. e

  emmanuel magige Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dada yng punguza jazba kuulza cyo ujinga mie nko nje ya Dar na nilikwsha danganywa mara kibao kuwa matokeo ya wizara ya afya yametoka kumbe nothing. Lakn ucjal km nimekukwaza sor.
   
 17. e

  emmanuel magige Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Punguza jazba dada yng kuulza cyo ujinga unajua 2medanganywa sna kuwa matokeo yametoka kumbe cyo. Sor km haujapenda.
   
 18. r

  rombo girl Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usijali mpendwa jmatatu yatakua net utayaangalia bila Shaka.
   
 19. e

  emmanuel magige Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niambie bac km yamebandikwa nimuagize m2 akaniangalizie.
   
 20. r

  rombo girl Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tumefunga office mpaka jtatu utayapata kwenye net au daily news, mwananchi.hukutaka kuamini toka mwanzo.
   
Loading...