Recent content by emmanuel alphaxad

  1. emmanuel alphaxad

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Jamani naonba mnieleweshe ni hatua zipi nipitie katuka uandishi wa barua ya uhamisho mkoa kwa mkoa
  2. emmanuel alphaxad

    Waliokuwa wanasubiria uhamisho TAMISEMI mmelifikiria hili?

    Nyinyi toeni hoja za msingi ni lini mshaharavunaongezwa?
  3. emmanuel alphaxad

    IRINGA: Askari aliyemuua mwanahabari Daudi Mwangosi afungwa miaka 15 Jela

    Mbona walikuwa wengi amwfungwa mmoja?
  4. emmanuel alphaxad

    Polisi walisema CHADEMA ndio waliorusha Bomu, mbona kafungwa Polisi?

    Jamani haki imetendeka Rais Magufuli changamoto hizotusaidie wanyonge
  5. emmanuel alphaxad

    Posho za Walimu Wakuu na Maafisa Elimu Kata

    Huu ni utawala mwingine jamani,hapa kazi tu.
  6. emmanuel alphaxad

    Iringa: Mahakama yamkuta askari aliyemuua Mwangosi na hatia ya kuua bila kukusudia

    Malipo ni hapahapa ukiuwa kwa upanga nawe utauawa kwa upanga tu hata kama sheria itapindishwa damu ya MTU inaongea.
  7. emmanuel alphaxad

    Chuo kikuu UDSM maringo kibao ila hamna lolote

    Yaani ndugu yangu kumbe ni kisirani kukosa nafasi udsm hivi je,huyo mtu wako angepata mafasi ungeyasema hayo?Chuo hicho achana nachoaana historian yake ni kubwa,unaposema hayo unaoneka km hujitambui,sasa kwanini ulikuwa unaomba nafasi hapo kama unajua hakina sifa?
  8. emmanuel alphaxad

    Naipenda Simba SC, ila kwa hapa nawapa heko Yanga.

    Acheni unazi wanasimba mnaposema yanga anapendelewa ni sawasawa na Tania ya mwanamke ya kulamika eti tunapendelewa kwanni nyinyi msipendelewe jiulizeni,yaani wanasimba inaonekana hamjakomaa kisokacnimegundua nyie ni washabiki ila sio wanasoka
  9. emmanuel alphaxad

    Naipenda Simba SC, ila kwa hapa nawapa heko Yanga.

    Nyinyi wanasimba jamani tuache ushabiki tuongee soka yanga kwa sasa sio saizi yenu msijisifie ujinga wanamsimbazi tengenezeni timu
  10. emmanuel alphaxad

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Magufuli alisitisha mchakato huo mpaka ajira zitakapotangazwa
Back
Top Bottom