God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
...
unasoma chuo gani mkuu??naweza kusema kulingana na ukongwe wa chuo kikuu cha UDSM kimekifanya kijulikana sana ndani na nje ya nchi pia watu maarufu wakiwemo marais, watoto wa marais na wasomi wengine wamesoma hapo.
ni kwa nini wamesoma hapo sababu ni kwamba bado nchi yetu ilikua changa miaka hiyo ya zamani na kilikua ni chuo pekee kuanzishwa hapa nchini inshort watanzania walikuwa wanakitegemea.
umri wake kama chuo kinachotegemewa na wananchi enzi hizo lakini sio saivi kimeweza kuzaa branches kibao ikiwemo SUA, ARDHI, MUHAS, hivi sasa vinajitegemea venyewe, pia kuna campas vingine kibao bado zipo chini ya chuo cha taifa enzi hizo kama mkwawa, must, duce, n.k
ukiangalia kulingana na hali yetu ilivyokua kama taifa changa wengi walisoma hapo, mawaziri, viongozi wengi wa kiserekali na wataalamu mbali mbali hii ni sababu tosha ya hiki chuo kupata sifa lukuki na ni sawa kabisa sababu majority wamepitia hapo.
kuanzia miaka ya 1990 hadi sasa kuzaliwa vyuo kibao vya serikali na vya binafsi, hivi vyuo vimepunguza ule utegemezi wa UDSM na sasa hivo vyuo vinatoa taaluma kibao na katika ngazi tofauti tuanzie certificate, diploma, degree, master hadi phd.
sasa hivin hakuna ule utegemezi na hivi vyuo ni imara mfano bugando, kcmc, st joseph ya engineering iliyopo Dar es salaam na vingine kibao vinavyoongozwa na mashirika ya kidini kama Ruco, makumira, theofilo kisanji, tumain sasa university of iringa, saut yani ni vingi mno, pia vipo udom, josia kibra, imtu, kampala archbishop james, mihayo, hubert kairuki, university of arusha, mzumbe, chuo cha ushirika moshi, pia zipo taasisi kama ditn nit n.k halafu kule zanzibaree sijaongelea bado.
na sasa ushindani upo waajiri wanabase sana kwa baadhi ya vyuo kupata wataalamu sababu wanajua viko poa.
nimejaribu kutafuta sababu ya udsm kupewa sana sifa sijaona sababu ila ubaguzi wao ndo unao waweka hapo wa kuchagua division one na two ila kiuhalisi kuna vyuo vinafanya vizuri mno na vinatoa wataamalu wazur utakuta watu wanaiponda udom wakat tukija kwenye hali halisi ndo inatoa IT expert wazuri na wameunda baadhi ya mitandao ya kijamii tunaiona.
pia kama nyie sio mna matatizo waliosoma hiyo udsm ndio malecture katika vyuo mbalimbali hapa nchini halaf vyuo vya kidini na hivi vya kibinafi vina wageni weni wengi wenye elimu nzuri wanatoa elimu kwa wanafunzi. wana partnership nzuri mno na sapoti ya kifedha.
my take udsm ni miaka hiyo sio sasa saivi vyuo vipo vingi na vinatoa elimu nzuri mifumo ya kisasa ya kufundishia masomo kwa vitendo na theoretically.
udsm saivi ni magofu chuo na mifumo mizima haijafanyiwa ukarabati wanafunzi wanatumia oudated machines halaf mnaanza kubwabwaja hapa na hao wanafunzi wenu tukikutana nao kazini hata kwenye mafunzo kwa njia ya vitendo mbona hawaja jipya iweje tuwe level moja kama kweli wao ni bora?
watu wenye uelewa wao hapa watasema kweli na wanayoyaona kwa hao graduate wa udsm wanajitapa sana. waache ubaguzi kuna dogo alikua anaomba chuo mwaka juzi alikua ana divisio three alikua anaomba kozi moja inahusiana na mambo ya fishing chakushangaa zilikua zimebaki nafasi kama 5 lakin hadi mwisho dogo hakupata, kitendo hiki kiliniuma sana na nikasema ngoja nainze kufatilia kwa umakini kuna nini huku hadin naadika huu uzi hamna lolote maringo tuu, nataka uongozi mzima utoe nafasi kwa wote kusoma na sio kubagua.
sawa hayo ni mawazo yako. ila mimi najua ukitoa st joseph zile zilizofungiwa kila chuo kiwe private au public havipishane elimu kama ni madudu au vitu gani vinavyofanyika matukio ni yale yale tuu sasa wewe umesema umesoma UDSM na kufundisha vyuo vitano hivyo vyuo ulivyofundisha vilikuaje embu niambie halaf nicommentUnaonekana una msongo wa mawazo! Ulichokiandika, ni uandishi wa kikasuku. Huna facts wala data za kutosha kusema UDSM sio chuo bora TZ.
Inaonekana na chuki binafsi, kama kijana mpenda elimu, na inaonekana una elimu kutoka ivyo vyuo unavyovisifia, jitahidi wanao wapitie UDSM, utakuwa na furaha daima.
Kuhusu miundombinu unayosema ni magofu, sijua n ipi. Hivi majuzi Rais JPM amezindua libary kubwa kabisa Africa, pale Udsm, KABLA ya hii mpya, hata iliyokuwepo, hakuna chuo kinachoweza kufikia. Nayaandika haya, kwa maana nimepata kusoma na kufundisha vyuo vitano hapa TZ.
UDSM itaendelea kuwa chuo tegemezi kwa nchi yetu na vyuo vingine (kwa waajiri wengi), kwa maana ya kuzalisha walimu bora na watendaji bora kwenye taasisi zisizokuwa za elimu.
Hujui hata matumizi ya punctuation marks..naweza kusema kulingana na ukongwe wa chuo kikuu cha UDSM kimekifanya kijulikana sana ndani na nje ya nchi pia watu maarufu wakiwemo marais, watoto wa marais na wasomi wengine wamesoma hapo.
ni kwa nini wamesoma hapo sababu ni kwamba bado nchi yetu ilikua changa miaka hiyo ya zamani na kilikua ni chuo pekee kuanzishwa hapa nchini inshort watanzania walikuwa wanakitegemea.
umri wake kama chuo kinachotegemewa na wananchi enzi hizo lakini sio saivi kimeweza kuzaa branches kibao ikiwemo SUA, ARDHI, MUHAS, hivi sasa vinajitegemea venyewe, pia kuna campas vingine kibao bado zipo chini ya chuo cha taifa enzi hizo kama mkwawa, must, duce, n.k
ukiangalia kulingana na hali yetu ilivyokua kama taifa changa wengi walisoma hapo, mawaziri, viongozi wengi wa kiserekali na wataalamu mbali mbali hii ni sababu tosha ya hiki chuo kupata sifa lukuki na ni sawa kabisa sababu majority wamepitia hapo.
kuanzia miaka ya 1990 hadi sasa kuzaliwa vyuo kibao vya serikali na vya binafsi, hivi vyuo vimepunguza ule utegemezi wa UDSM na sasa hivo vyuo vinatoa taaluma kibao na katika ngazi tofauti tuanzie certificate, diploma, degree, master hadi phd.
sasa hivin hakuna ule utegemezi na hivi vyuo ni imara mfano bugando, kcmc, st joseph ya engineering iliyopo Dar es salaam na vingine kibao vinavyoongozwa na mashirika ya kidini kama Ruco, makumira, theofilo kisanji, tumain sasa university of iringa, saut yani ni vingi mno, pia vipo udom, josia kibra, imtu, kampala archbishop james, mihayo, hubert kairuki, university of arusha, mzumbe, chuo cha ushirika moshi, pia zipo taasisi kama ditn nit n.k halafu kule zanzibaree sijaongelea bado.
na sasa ushindani upo waajiri wanabase sana kwa baadhi ya vyuo kupata wataalamu sababu wanajua viko poa.
nimejaribu kutafuta sababu ya udsm kupewa sana sifa sijaona sababu ila ubaguzi wao ndo unao waweka hapo wa kuchagua division one na two ila kiuhalisi kuna vyuo vinafanya vizuri mno na vinatoa wataamalu wazur utakuta watu wanaiponda udom wakat tukija kwenye hali halisi ndo inatoa IT expert wazuri na wameunda baadhi ya mitandao ya kijamii tunaiona.
pia kama nyie sio mna matatizo waliosoma hiyo udsm ndio malecture katika vyuo mbalimbali hapa nchini halaf vyuo vya kidini na hivi vya kibinafi vina wageni weni wengi wenye elimu nzuri wanatoa elimu kwa wanafunzi. wana partnership nzuri mno na sapoti ya kifedha.
my take udsm ni miaka hiyo sio sasa saivi vyuo vipo vingi na vinatoa elimu nzuri mifumo ya kisasa ya kufundishia masomo kwa vitendo na theoretically.
udsm saivi ni magofu chuo na mifumo mizima haijafanyiwa ukarabati wanafunzi wanatumia oudated machines halaf mnaanza kubwabwaja hapa na hao wanafunzi wenu tukikutana nao kazini hata kwenye mafunzo kwa njia ya vitendo mbona hawaja jipya iweje tuwe level moja kama kweli wao ni bora?
watu wenye uelewa wao hapa watasema kweli na wanayoyaona kwa hao graduate wa udsm wanajitapa sana. waache ubaguzi kuna dogo alikua anaomba chuo mwaka juzi alikua ana divisio three alikua anaomba kozi moja inahusiana na mambo ya fishing chakushangaa zilikua zimebaki nafasi kama 5 lakin hadi mwisho dogo hakupata, kitendo hiki kiliniuma sana na nikasema ngoja nainze kufatilia kwa umakini kuna nini huku hadin naadika huu uzi hamna lolote maringo tuu, nataka uongozi mzima utoe nafasi kwa wote kusoma na sio kubagua.
Nimesoma UDSM- degree, then Mzumbe for MA nikamalizia Institute of Social Work - Postgraduate.sawa hayo ni mawazo yako. ila mimi najua ukitoa st joseph zile zilizofungiwa kila chuo kiwe private au public havipishane elimu kama ni madudu au vitu gani vinavyofanyika matukio ni yale yale tuu sasa wewe umesema umesoma udsm na kufundisha vyuo vitano hivyo vyuo ulivyofundisha vilikuaje embu niambie halaf nicomment
Nafikiri unawaonea UDSM, wanafunzi wanapo omba UDSM huchagua wale wenye vigezo vyao pamoja na cut off point yao. Halafu huwapanga kwa point kuanzia mwenye nyingi hadi chache kabisa thereafter wanaangalia wana nafasi ngapi. Kitu kizuri kuhusu UDSM wanaweka mtandaoni majina ya wale watakaowadahili na wale ambao wamepelekewa na TCU lakini wao wameamua wasiwadahili na hutoa sababu. Huanika kila kitu toka form 4 performance and form 6 performance. Na hawachukui div 1 na 2 pekeyao, inategemea na ushindani na cut-off yao. Wanafunzi kwa sababu moja au nyingine kwa program fulani hugombania kwenda UDSM hivyo itakuwa haina maana chuo kuchukua mwenye ufaulu mdogo na waache mwenye ufaulu mkubwa. Pia lazima minimum vigezo vya programu vizingatiwe. Kama huyo dogo uliyemuelezea amekuwa na vigezo walivyoweka na hakuchukuliwa wakati nafasi ipo una haki ya kulalamika vinginevyo si sawa. Swaga za vijana waa UDSM mimi sitaki kuzizungumzia.naweza kusema kulingana na ukongwe wa chuo kikuu cha UDSM kimekifanya kijulikana sana ndani na nje ya nchi pia watu maarufu wakiwemo marais, watoto wa marais na wasomi wengine wamesoma hapo.
ni kwa nini wamesoma hapo sababu ni kwamba bado nchi yetu ilikua changa miaka hiyo ya zamani na kilikua ni chuo pekee kuanzishwa hapa nchini inshort watanzania walikuwa wanakitegemea.
umri wake kama chuo kinachotegemewa na wananchi enzi hizo lakini sio saivi kimeweza kuzaa branches kibao ikiwemo SUA, ARDHI, MUHAS, hivi sasa vinajitegemea venyewe, pia kuna campas vingine kibao bado zipo chini ya chuo cha taifa enzi hizo kama mkwawa, must, duce, n.k
ukiangalia kulingana na hali yetu ilivyokua kama taifa changa wengi walisoma hapo, mawaziri, viongozi wengi wa kiserekali na wataalamu mbali mbali hii ni sababu tosha ya hiki chuo kupata sifa lukuki na ni sawa kabisa sababu majority wamepitia hapo.
kuanzia miaka ya 1990 hadi sasa kuzaliwa vyuo kibao vya serikali na vya binafsi, hivi vyuo vimepunguza ule utegemezi wa UDSM na sasa hivo vyuo vinatoa taaluma kibao na katika ngazi tofauti tuanzie certificate, diploma, degree, master hadi phd.
sasa hivin hakuna ule utegemezi na hivi vyuo ni imara mfano bugando, kcmc, st joseph ya engineering iliyopo Dar es salaam na vingine kibao vinavyoongozwa na mashirika ya kidini kama Ruco, makumira, theofilo kisanji, tumain sasa university of iringa, saut yani ni vingi mno, pia vipo udom, josia kibra, imtu, kampala archbishop james, mihayo, hubert kairuki, university of arusha, mzumbe, chuo cha ushirika moshi, pia zipo taasisi kama ditn nit n.k halafu kule zanzibaree sijaongelea bado.
na sasa ushindani upo waajiri wanabase sana kwa baadhi ya vyuo kupata wataalamu sababu wanajua viko poa.
nimejaribu kutafuta sababu ya udsm kupewa sana sifa sijaona sababu ila ubaguzi wao ndo unao waweka hapo wa kuchagua division one na two ila kiuhalisi kuna vyuo vinafanya vizuri mno na vinatoa wataamalu wazur utakuta watu wanaiponda udom wakat tukija kwenye hali halisi ndo inatoa IT expert wazuri na wameunda baadhi ya mitandao ya kijamii tunaiona.
pia kama nyie sio mna matatizo waliosoma hiyo udsm ndio malecture katika vyuo mbalimbali hapa nchini halaf vyuo vya kidini na hivi vya kibinafi vina wageni weni wengi wenye elimu nzuri wanatoa elimu kwa wanafunzi. wana partnership nzuri mno na sapoti ya kifedha.
my take udsm ni miaka hiyo sio sasa saivi vyuo vipo vingi na vinatoa elimu nzuri mifumo ya kisasa ya kufundishia masomo kwa vitendo na theoretically.
udsm saivi ni magofu chuo na mifumo mizima haijafanyiwa ukarabati wanafunzi wanatumia oudated machines halaf mnaanza kubwabwaja hapa na hao wanafunzi wenu tukikutana nao kazini hata kwenye mafunzo kwa njia ya vitendo mbona hawaja jipya iweje tuwe level moja kama kweli wao ni bora?
watu wenye uelewa wao hapa watasema kweli na wanayoyaona kwa hao graduate wa udsm wanajitapa sana. waache ubaguzi kuna dogo alikua anaomba chuo mwaka juzi alikua ana divisio three alikua anaomba kozi moja inahusiana na mambo ya fishing chakushangaa zilikua zimebaki nafasi kama 5 lakin hadi mwisho dogo hakupata, kitendo hiki kiliniuma sana na nikasema ngoja nainze kufatilia kwa umakini kuna nini huku hadin naadika huu uzi hamna lolote maringo tuu, nataka uongozi mzima utoe nafasi kwa wote kusoma na sio kubagua.
Kwa hili, nadhani wanaochagua UDSM ya kwanza ni wanafunzi wanaotokea mikoani (vijijini) ambao wanaona kwenda Dar kama ni adventure! Lakini ki ukweli kabisa, heshima ambayo UDSM imebaki nayo ni sawa na ile ya mzee. Kuna ule msemo kwamba "uzee dawa". Tunawaheshimu mababu tukiamini kuwa wana busara na hekima lakini hawa watu siyo productive.Chaguo lako la kwanza ni UDSM.
Baada ya kukosa unaponda wewe ni shida.
Chuo cha kawaida sana na wanafunzi wao ingawa wengi wao walifaulu vizur A level,lakini ni wakawaida sana kwenye degree zao.Yaani ndugu yangu kumbe ni kisirani kukosa nafasi udsm hivi je,huyo mtu wako angepata mafasi ungeyasema hayo?Chuo hicho achana nachoaana historian yake ni kubwa,unaposema hayo unaoneka km hujitambui,sasa kwanini ulikuwa unaomba nafasi hapo kama unajua hakina sifa?
mkuu bwana mimi sitaki mabishano na wewe napenda kuongelea reality sikufichi ule utegemezi wa udsm haupo tena na sikusema kwamba wanatoa elimu mbaya hapana ila wamezidisha masifa na maringo na kama uamin kwa hizo sifa wanazozipata sidhani kama kuna mtu au taasisi ingeajiri mwanafunzi kutoka kwenye vyuo vingine zaid ya udsm. ila kuna vyuko viko poa na vinajulikana. kila chuo kina sifa yake sasa kwa mambo ya IT udom naamin wako vizuri, pia St joseph wahind wako vizur sana kwa elimu zao sijui kama umewahi ulizia hiyo engnieering ya st joseph dzm, cheki muhas, bugando kcmc, sua, mzumbe n.k nakuhakikishia udsm ni miaka hiyo siyo sasa saivi ushindani umeongezeka kila chuo kinataka kujikuta bora. pia narudia tena sikusema udsm mbaya hapa bali ni overcreditedNimesoma UDSM- degree, then Mzumbe for MA nikamalizia Institute of Social Work - Postgraduate.
Nimefundisha NIT, RUCO part time lecturer.
Hakuna chuo hata kimoja kati ya hivyo hapo chenye miundombinu imara na friendly kwa mwanafunzi kusoma ka UDSM.
Hata wanafunzi wanaodahiliwa kweye hivyo vyuo, uwezo ni mdogo, mbaya zaidi wengi wameanzi certificate, mpaka ngazi ya degree wakiwa kwenye vyuo hivyo. Uwezo wao wa kuandika kitu kikaeleweka sio wa kuridhisha kwa level ya mwanafunzi wa degree.
Waalimu katika vyuo hivi nilivyopitia, walio competent ni wale waliopita UDSM, ila wale waliopitia mfumo wa chuo husika kuupata Ualimu wa chuo, hawaridhishi kufundisha vyuoni. Hapo usitarajie wakazalisha wanafunzi wenye kuweza kushindana katika soko la ajira.
Mwisho; kama una ndugu yako aliomba nafasi ya kusoma UDSM akakosa, hakuwa na vigezo, hivyo usitake kutafuta lawama ambazo hazina mashiko, cha msingi ni kuhakikisha kama hujafanya selection ya chuo/kozi angalia kama unafiti kwenye vigezo vya kozi husika, pia uangalia mwaka huo , trend ya ufaulu ikoje.
mkuu unajua nini samahani sana hakuko kwenye mashindano ya kuandika, hivo ni vitu vidogo vidogo sana kikubwa nilikua nataka ujumbe ueleweke tuweze kuzungumzia hili swala.Hujui hata matumizi ya punctuation marks..
Tatizo ni nini kijana??