Hakuna nguvu duniani iliyoishinda nguvu ya umma, Watanzania sasa wameelimika hivyo basi viongozi wetu wabadilishe mtazamo na wawe na fikira pevu juu ya utumishi uliotukuka. Tunajua wana polisi sawa, wana JW sawaa tu, na vyombo vingine vya usalama sawaaa kabisa LAKINI .......Uongozi ni karama...
ahahahahahahaaa..... eti huyu ndio msemaji wa magamba, safi sana wanajichimbia kaburi wenyewe. Soon atakuwa muimba taarabu, mzee yusufu ajiandae kupata mshindani. Wana JF na Watz, huyu jamaa hayupo tayari kujifunza na kuelimika, tusiiumiize vichwa na kupoteza muda kujibu hoja zake. Pumba tupuu.
This makes the difference between Jf and other socia networks. People are seriously in searching and reading and so curious with matters. But remember, Narrow minded people discuss People.
Keep it up, Makamanda.
Baada ya Musoma, naomba twende na Serengeti. Pale kuna ngome ya mavuvuzera.
Guys, the time is now. Be part of changes.... Be blessed once again
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.