Inawezekana anatumika ukipita stend apa stend ya mawasiliano utakuta matangazo mengi ya mgombea ubunge wa cuf ukipita maeneo mengi ya ubungo hivi hivi ebu ukawa wasimamie hili
Slaa kiukwel siyo Huyu naemjua alipanic sana hii dhambi ya usaliti ni mbaya padri ukishakula kiapo cha Mafuta matakatifu ukaas ni dhambi kubwa sana hii ni dhambi ya uzinifu
Naona kuna vipeperushi vya kumchagua mbunge vya mgombea wa CHADEMA pia wa CUF.
Ina maana ukawa wamesimamisha wagombea wawili? Hawakukubaliana au ni hujuma kwa kubenea?
Yaan sielewi kama ni mapenzi au ni nini yaani wife akikuta nimenyoa sirini au nimeoga nikafua pichu hua ananimandi sana anataka yote afanye yeye hivi yupo sawa au ni mambo ya kishirikina?
Nashuru kwa ushaur wandugu coz nilikua nishapanic kwa cku ya leo nimeshindwa fanya kaz nimekunya pombe pia haziingii kabisaaa mawashuru coz narud home but nilikua nahasira nilale niamke salama nijue cha kufanya ila kiukwel unaweza ona mtu anashinda bar analewa ila hapend ushaur wenu umenitia...
Mimi ni kijana na 28 years nilikutana na binti nilimpenda sana kumbe alikua na mtoto kazaa na mwanaume mwingine na mimi pia nilikua na mtoto wa nje niliona isiwe sababu nikaamua kuishi nae toka 2013.
Nilimkuta akitumia sindano za uzazi wa mpango nikamsihi aache akaacha mpaka leo hajawah pata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.