Jimbo la Ubungo UKAWA wana wagombea wawili?

Jimbo la Ubungo UKAWA wana wagombea wawili?

emma shayo

Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
78
Reaction score
16
Naona kuna vipeperushi vya kumchagua mbunge vya mgombea wa CHADEMA pia wa CUF.

Ina maana ukawa wamesimamisha wagombea wawili? Hawakukubaliana au ni hujuma kwa kubenea?
 
Jimbo hilo ni la Chadema kupitia Kubenea. Hiyo wa CUF anatumika tu vibaya.
 
Ubungo kwenye list ni kwa ajili ya mgombea wa chadema.kama kuna mwingine hapo basi inabidi UKAWA wafanye kazi tusije tukawasaidia ccm kujishindia bure.
 
Ubungo kwenye list ni kwa ajili ya mgombea wa chadema.kama kuna mwingine hapo basi inabidi UKAWA wafanye kazi tusije tukawasaidia ccm kujishindia bure.

Inawezekana anatumika ukipita stend apa stend ya mawasiliano utakuta matangazo mengi ya mgombea ubunge wa cuf ukipita maeneo mengi ya ubungo hivi hivi ebu ukawa wasimamie hili
 
Mashaka ngole mwansheria Msomi ndiye mbunge wetu, kubenea haishi ubungo
 
Back
Top Bottom