Recent content by Emma Piano

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumwelewa kwakweli

    Acha kupoteza muda aisee, hapo hamna kitu, na unavozidi kuwa nae ndio unajipalia makaa ya moto, kuwa na huruma haimaanishi ushindwe kujihurumia kisa unahurumia wengine, piga teke, kaz moyo, kuwa mkali tupilia mbali, Wanawake wapo wakukufaa.
  2. E

    JamiiForums Tanzania FREMU YA BIASHARA

    Kwan kuna mshahara unapokea mzee kuwa na hii thread, au umeitengeneza uchati wewe mwenyew.... acha mambo ya kiwaki.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume wenye watoto, hasa wa kike mnaweza fanya hili.?

    Hii inaweza kuwa sababu kabisa, wadada wengi wanasahau nyumbani wakipata visenti kidogo
  4. E

    JamiiForums Tanzania FREMU YA BIASHARA

    Nahitaji frem ya biashara pia kwa tabata segerea, gongo la mboto na pugu kajiungeni
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu muhimu sana, maana nnakoelekea siko.

    Kwa maelezo hayo mkuu ni tatizo lingine, naomba usinitafute...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu muhimu sana, maana nnakoelekea siko.

    Huu ushauri aisee..... wana Jf muwe makini kama huna cha kushauri mtu usimpotishe ilimradi tu uonekane umetype humu
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu muhimu sana, maana nnakoelekea siko.

    Hiyo ni hali mbaya sana, unatikana na kujihukumu wewe binafsi kwa makisa ukiyowahi kuyafanya siku za nyuma, na nadhani kosa moja wapo ni kuwa na watoto wa nje ya ndoa... nakushauri kama hutojari nitafute kwa sms naweza kukusaidia kitu muhimu ka sivyo kweli unayowaza utayatekeleza lakinubmatokeo...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Sema sababu iliyokutenganisha wewe na mpenzi wako wa zamani

    Ujinga huu nlishakutana nao pia Sent using Jamii Forums mobile app
  9. E

    JamiiForums Tanzania Sema sababu iliyokutenganisha wewe na mpenzi wako wa zamani

    Hata uchafu labda ulimfanya akpohe chn kmyakmya[emoji2] [emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. E

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    Eee! Na uchawi unahusika tena,kuna wachawi sana ee?,na vipi kuhusu mabweni,na ni mchanganyko au boyz tupu?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    Shukrani kwako mkuu,hivi hyo shule ni ya mkoloni au?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    Asante Sana mkuu umenifumbua macho kwa sehemu juu ya hyo shule ,na vipi maswala ya maji ni ya kutosha au?
  13. E

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    Wana jamvi ,jamani naombeni msaada anayeifahamu hii shule ya tunduru,anipe sifa zake na mapungufu yake,na anijuze iko mkoa gani,pia anishauri nisome hyo shule,maana nimepangiwa nikasome CBG ,msaada tafadhali.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kapangiwa Shule Ambayo haina Combination Husika

    wakuu nifahamisheni na mimi vipi niende huko Tunduru ,maana ninachukua CBG na nimepangiwa huko.
  15. E

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    Wana Jf Nami Pia Napenda Mnijuze kwa anayeifahamu shule ya Tunduru,iko mkoa gani mazingira ya kujisomea yakoje na sifa nzuri hata mbaya za shule hiyo,kisha aniambie je shule hiyo kuna michepuo ya sayansi?
Back
Top Bottom