Recent content by Emma mwa

  1. E

    JamiiForums Tanzania Zingatia wazungu wanaposema life begins at 40

    WAZUNGU WANAPOSEMA "LIFE BEGINS AT 40" WANA MAANA IPI? _________________________________, Wazungu wanapenda sana kusema kuwa "Life begins at 40" . Msemo huu huwa una maana kwamba mstakabali wa maisha ya binadamu mara nyingi unatafsirika pindi anapofikisha umri wa miaka 40 na kuendelea. Leo...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa chuo cha utangazaji na uandishi mkoa mbeya

    Habari wana jf naomba kama kuna mtu anakifahamu chuo chochote wanachofundisha uandishi na utangazaji mkoa Mbeya Anisaidie hapa ikiwezekana mahali kinapopatikana
  3. E

    JamiiForums Tanzania Azam Tv yapewa leseni ya kuonesha chaneli za ndani bure

    Kumbe sasa naona hapo kwa startime bado sana shida
  4. E

    JamiiForums Tanzania Azam Tv yapewa leseni ya kuonesha chaneli za ndani bure

    Hivi ni channel ngapi za ndani zinazotakiwa kuoneshwa bure ? Maana startimes mwaka Jana niliangalia Swahili channel, TBC 1 na 2 Channel ten, Clouds TV, ITV, EATV na Star Tv lakini baadae wakafunga zote mpaka nilipie lakini mwezi wa nne wakaanza kuonesha TBC 1 tu sasa mimi sijui ni channel moja tu au
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Nimesoma vizuri uzi huu na kuelewa unachomaanisha lakini mimi ninavyojua ni hivi Ni kweli baada ya shetani kuasi mbinguni Mungu alimtupilia duniani na kilichomfanya shetani kufukuzwa mbinguni ni kujikweza, kiburi, na majivuno na kilichofanya shetani afanye hivyo ni kwa sababu alipewa uwezo...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Cryogenically Frozen: Sehemu zinatumika kuhifadhi miili ya watu waliofariki

    Mmmmmmh lifecoded,
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ziara ya mheshimiwa Rais Mbeya yasababisha manung'uniko

    Hapana lakini angefika hata moja wapo ya kijiji ingeleta faraja mfano angekuwa ilembo kungekuwa na wananchi wa kutoka vijiji vingine Mbona kikwete alifika Ilembo wananchi wakakusanyika kutoka vijiji vya karibu na akasikiliza kero zao na zilitatuliwa barabara zilitengenezwa
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ziara ya mheshimiwa Rais Mbeya yasababisha manung'uniko

    Kapalamsenga katika vijiji hivyo kuna changamoto Mfano Barabara ya Iwiji kwenda Vwawa nimepita wiki iliyopita ni taabu Barabara imejaa mashimo daraja la mto Magole limeharibika ni la kupita kwa bahati Nasibu Daraja la mto Mafumbo ambao unatiririsha maji yake mto Songwe yaani tulipofika hapo...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ziara ya mheshimiwa Rais Mbeya yasababisha manung'uniko

    Mbeya DC sio mbalizi tu kuna watu wana kero zao kule Santilya, Isuto, Ilembo, Isangati, Iwiji, Izyira
  10. E

    JamiiForums Tanzania Ziara ya mheshimiwa Rais Mbeya yasababisha manung'uniko

    Tukiwa tunahitimisha ziara ya mheshimiwa Rais wa #TANZANIA HAPA Wilayani mbarali leo mkoani Mbeya , ikiwa ni siku ya 8 tangu mheshiwa awasili Kuna swali nimejiuluza nimekosa majibu Mheshiwa katembelea wilaya/halmashauri zifuatazo #mbeya #chunya #kyela #busokelo #mbarali Lakini #mbeyavijijini...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kauli tata Mei Mosi 2019

    Afadhali na birthday mkuu
  12. E

    JamiiForums Tanzania MEI MOSI 2019: Rais Magufuli asisitiza kuwa ataongeza mishahara akikaribia kuondoka madarakani. Awataka wafanyakazi kuwa na subira

    Hivi may mosi ni kwa ajili ya nini ? Mimi nilifikiri ni kwa ajili ya kuwapa faraja wafanyakazi kwa kuongeza mishahara, ajira,kupandisha madaraja, n.k lakini katika awamu ya tano naona watu wanasherekea sikuku may mosi kama vile wapo msibani badala tuone ni kama wapo harusini
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kauli tata Mei Mosi 2019

    Hivi may mosi ni kwa ajili ya nini ? Mimi nilifikiri ni kwa ajili ya kuwapa faraja wafanyakazi kwa kuongeza mishahara, ajira,kupandisha madaraja, n.k lakini katika awamu ya tano naona watu wanasherekea sikuku may mosi kama vile wapo msibani badala tuone ni kama wapo harusini
  14. E

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, nimempa hela nusu na kiwanja kamuuzia mtu mwingine

    Tuliandikishiana na mbele ya mashahidi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom