Sasa umeandika nini? Watu wengine sijui huwa wanafikiria nini, uchaguzi umeisha, watu wanafikiria maendeleo ya kututoa tulipo ili tusukume gurudumu mbele wewe unaleta ushabiki wa vyama. Hebu jifunze kufikiria mada za kuleta humu.
Kila mtu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi Duniani zinahesabika, kwa maana hiyo kila mtu ni mahiti mtarajiwa hata wewe mwenyewe ni maiti mtarajiwa, pumbavu zako kwa kumuita mtu hai maiti.
Kwa taarifa yako hata kama ukawa hawatashinda lakini watakuwa na nguvu kuliko tangu uchaguzi wa vyama vingi uanze hapa nchini sababu watapata wabunge wakutosha na pia kura za urais watapata nyingi sana kwa hiyo watakuwa na ruzuku ya kutosha kuendesha vyama vyao na hapo ndo wataimariki zaid.
Sijui umekula maharage ya wapi kuja kutoa ushuzi, wewe unafikiri unataka tuchagua unayemtaka? Kila mtu ana msimamo wake ushuzi peleka huko. Wewe kama ni mzalendo mbona watoto wako wanadoma Iringa international school
Kweli kwenye maandamano ya mamba na kenge wamo, wewe unalalamikia kitu usichokijua, wewe unasema mwanaume akifa mrithi ni mwanamke, kama hutaki hivyo si uandime usia ugawe mali zako upendavyo halafu upeleke kwa mwanasheria
Pili hata hiyo makahama ya kadhi wanachokihitaji huelewi, nashauri...
Wewe mbona una akili ya ajabu, unalalama nini hapa kwani hela anazotetea Ponda zimeliwa na nani? Si zimeliwa na waislamu wenyewe. Tunakuomba hapa usichanganye mada na mambo ya dini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.