Recent content by Emekha Ikhe

  1. Emekha Ikhe

    Kesi ya Thadey Kweka: Utawala wa sheria, hauruhusu vyombo vya uchunguzi na mahakama, kuvunja haki za kikatiba na sheria, katika utoaji hukumu zake

    Ukisoma pleading zao hakuna maombi ya Exparte and for that sake it was inter-Parte iliyofantika Exparte ili kutimiza nia ovu ya wanaoshitaki
  2. Emekha Ikhe

    Kesi ya Thadey Kweka: Utawala wa sheria, hauruhusu vyombo vya uchunguzi na mahakama, kuvunja haki za kikatiba na sheria, katika utoaji hukumu zake

    Kaka Maridhiano juu ya Damu za watu badala ya Uwajibikaji wa wahusika ni dhambi kuu itayovutia ghafhabu ya MUNGU Kwa Taifa
  3. Emekha Ikhe

    Kesi ya Thadey Kweka: Utawala wa sheria, hauruhusu vyombo vya uchunguzi na mahakama, kuvunja haki za kikatiba na sheria, katika utoaji hukumu zake

    Tunasafari Ngumu ya Kujifunga Mkanda Kupata Katiba Mpya itayoweka misingi ya Uhuru wa Mhimili wa Mahakama. Unapoona Mahakama inashirikiana na Wakamataji na Washitaki kwa kupuuza haki za binadamu ni hatari sana
  4. Emekha Ikhe

    Kesi ya Thadey Kweka: Utawala wa sheria, hauruhusu vyombo vya uchunguzi na mahakama, kuvunja haki za kikatiba na sheria, katika utoaji hukumu zake

    Tunaombwe Comrade, Bila Katiba Mpya itayoweka Misingi ya uhuru wa Mhimili wa Mahakama, hatutatoka hapa
  5. Emekha Ikhe

    Kesi ya Thadey Kweka: Utawala wa sheria, hauruhusu vyombo vya uchunguzi na mahakama, kuvunja haki za kikatiba na sheria, katika utoaji hukumu zake

    Nimesoma HUKUMU ya Kesi ya THADEY KWEKA ambayo imetolewa jana kinyemela hata bila yeye mwenyewe kujitetea au kutetewa na Mawakili wake tangu kukamatwa kwake, Ninasikitika Kuona kwamba hata Mahakama kupitia Hakimu imejielekeza Vibaya Kutoa HUKUMU husika Raia Wanategemea Mahakama itende Haki na...
  6. Emekha Ikhe

    Safari ndefu ya kitaaluma(long walk to academic justice) na neno la shukrani kwa taasisi, Vyombo vya Habari na wadau mbalimbali 2011-2025

    SAFARI NDEFU YA KITAALUMA(LONG WALK TO ACADEMIC JUSTICE) NA NENO LA SHUKRANI KWA TAASISI, VYOMBO VYA HABARI NA WADAU MBALIMBALI 2011-2025. Prof. Rwekaza Mkandala, Watawala Wote wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) na Viongozi wote wa serikali Mlioshiriki kunifukuza...
  7. Emekha Ikhe

    PostGE2025 Ijue safari ya ufunguaji kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu (ICC) kwa muktadha wa hali ya Tanzania

    UFUNGUAJI WA KESI KATIKA MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA UHALIFU ICC KWA MUKTADHA WA HALI YA TANZANIA Naomba nitumie lugha rahisi kwa Ufafanuzi ambayo hata asiye mwanasheria aelewa ili kuendelea kutoa Ushirikiano wa taarifa za uhalifu wa Haki za Binadamu uliotokea Kabla, Wakati na baada ya Kilichoitwa...
  8. Emekha Ikhe

    The Laws and Core Legal Text Governing the International Criminal Court (ICC)

    THE LAWS AND CORE LEGAL TEXT GOVERNING INTERNATIONAL CRIMINAL COURT (ICC) Alphonce Lusako (Adv) Following the fact that, The International Criminal Court (ICC) has been asked to investigate alleged mass killings as part of grave Human Rights Violations during a crackdown on post-General...
  9. Emekha Ikhe

    Siku ya Vijana Duniani iwe chachu ya kuzitambua, kuzianisha na kupinga sheria zinazominya demokrasia ya uchaguzi kwa vijana ikiwemo wenye umri 18-21

    SIKU YA VIJANA DUNIANI IWE CHACHU YA KUZITAMBUA, KUZIANISHA NA KUPINGA SHERIA ZINAZOMINYA DEMOKRASIA YA UCHAGUZI KWA VIJANA IKIWEMO VIJANA WENYE UMRI KATI YA MIAKA 18-21 KUGOMBEA NAFASI YA UBUNGE TANZANIA. KESI (ALPHONCE LUSAKO Vs. ATTORNEY GENERAL, CIVIL CASE NO.06 OF 2022). Hatuwezi tukawa na...
  10. Emekha Ikhe

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) na maamuzi ya utata kuhusu mitihani ya marudio kwa wanafunzi wa Vyuo vya Kati

    JE, WAZIRI WA ELIMU, PROF JOYCE NDALICHAKO ANAFAHAMU ADHA HII? Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Sura Namba 129 ili kusimamia na kuratibu utoaji wa elimu na mafunzo ya ufundi katika Vyuo ambavyo si Vyuo Vikuu ama Vyuo Vikuu Vishiriki...
  11. Emekha Ikhe

    Ugaidi: Ufafanuzi wa kisheria na hatari iliyopo juu ya mashtaka ya ugaidi dhidi ya Freeman Mbowe na wengine (3)

    UGAIDI: UFAFANUZI WA KISHERIA NA HATARI ILIYOPO JUU YA MASHTAKA YA UGAIDI DHIDI YA MH. FREEMAN MBOWE NA WENGINE (3). Na. Alphonce Lusako (Human Rights-Lawyer) Andiko Hili litajikita Katika Mambo Makuu yafuatayo UTANGULIZI- KESI YA UGAIDI (ECONOMIC CRIME NO. 63 OF 2020). NINI KINAUNDA KOSA LA...
  12. Emekha Ikhe

    SoC01 Kitendawili cha Katiba ya Wananchi - Tanzania

    Thanks much. kura yako please
  13. Emekha Ikhe

    SoC01 Kitendawili cha Katiba ya Wananchi - Tanzania

    JINSI YA KUMPIGIA KURA Alphonse Lusako ili ashinde Shindano #JAMII FORUM, kupitia andiko lake : KITENDAWILI CHA KATIBA YA WANANCHI-TANZANIA .. Tumia/Ingia Google Chrome andika hii web (www.jamiiforum.com) Tumia account yako ya jamii forum Ku-Log-in then utaona #Forum nyingi, chagua kwa...
  14. Emekha Ikhe

    SoC01 Kitendawili cha Katiba ya Wananchi - Tanzania

    Thanks much chief. Kura yako tafadhari.. JINSI YA KUMPIGIA KURA Alphonse Lusako ili ashinde Shindano #JAMII FORUM, kupitia andiko lake : KITENDAWILI CHA KATIBA YA WANANCHI-TANZANIA .. Tumia/Ingia Google Chrome andika hii web (www.jamiiforum.com) Tumia account yako ya jamii forum Ku-Log-in...
Back
Top Bottom