Recent content by Emeca

  1. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatma ya ndoa yangu leo usiku imekuwa hatari kwa maisha yangu

    BRN umemaliza...! sijui atake ushauri gani tena Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    JamiiForums Tanzania Confession: Kiukweli mawachukia walimu

    Kwakuwa walijua akili za darasani unazo,ndio maana walikusakama ili wasikupoteze japo ulikuwa kero kwao.Walimu na waheshimiwe popote walipo!!
  3. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili ni tatizo kubwa kwa wanandoa

    BINTIYAZA unatumia kinywaji gani nikuagizie kwa mangi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. E

    JamiiForums Tanzania Pumzika kwa amani mdogo wangu

    Pole sana tuzidi kuwaombea marehemu wetu M/Mungu apumzishe roho zao pema peponi...Amiin
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nawasihi kina dada kunyoa nywele za chini

    Mila pia zinachangi niliwahi kudate na lecturer wangu alikuwa muhindi (sio wote) hakuwahi kunyoa tangu alipozaliwa jando pia hakuna ni mwendo wa sweta
  6. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anathamini mpira kuliko hisia zangu, naombeni ushauri

    Humu JF kuna watu wanajua mambo aisee.Mume wangu ni shabiki wa Arsenal isitoshe anabet! Yaniiiiiii sitaki kusema mengi,ndoa!!! uvumilivu unahitajika
Back
Top Bottom