Connection muhimu sana aiseee watu wanapta kwa sababu ya connection.. Mana inakuwaje wengne huwa wanatumiwa sms kwnye email wanakwenda kuripoti kazini.. Kama sio connection ni nini sasa
Nilkua nakaa hostel na mshakj wa man U.. Yan sku man U ikishnda nachelewa kuja kulala ili nikute alisha lala mana makelele balaaa alf karbia ote wapo Ivo.. Cjui kwann
Anaitwa charles ana miaka 26 ni mwanafunzi wa ngazi ya stashahada na yuko mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha SAUT mwanza.
Tatizo lake ni kuwa na waswas na afya yake mana kafanya mchezo kuzama chumvini (oral sexual) mara moja tu ktk maisha yake, sasa anauliza je atakuwa kaathirika au laaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.