Recent content by Embass

  1. E

    JamiiForums Tanzania Chuo cha takwimu changanyikeni

    Usiwe na shaka Niko vizuri kuomba msaada huo sio kwamba sina uwezo.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Chuo cha takwimu changanyikeni

    Nashukuru kwa msaada wako
  3. E

    JamiiForums Tanzania Chuo cha takwimu changanyikeni

    Actually Niko mbali na DAR nimejaribu kugoogle ninapata page yao ya Facebook ambayo haina relevant information kama una website yao mkuu naomba unisaidie am real serious
  4. E

    JamiiForums Tanzania Chuo cha takwimu changanyikeni

    Jamani kwa yeyote mwenye details za Chuo cha Takwimu Changanyikeni Dar es salaam especially kuhusu course za masters wanazofundisha hapo. Naomba anisaidie nategemea kuaply for masters kwenye hicho chuo.
  5. E

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Mstaafu wa Jimbo la Njombe, Raymond Mwanyika afariki dunia

    RIP Tutakukumbuka sana baba askofu wa jimbo la Njombe
  6. E

    JamiiForums Tanzania Magufuli akumbwa na kashfa nzito!

    Pole sana pombe wameanza kukuchafua mzee mwaenzangu!!!!!!!!!
  7. E

    JamiiForums Tanzania Magufuli akumbwa na kashfa nzito!

    Hii ni kali kwa kweli no longer undefited!!!!!!!!
  8. E

    JamiiForums Tanzania Askari wetu wa kwanza kufa drc..tuwe wamoja.. M23 wameshindwa kabla ya kuanza

    I believe wanajeshi wetu ni professional na watashinda VIVA TZ
  9. E

    JamiiForums Tanzania Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Lakini jamani swali la kizushi, Hivi duniani kote utaratibu wa kuchinja ukoje? Je machinjio zote zinafuata sheria za uchinjani hasa kwa Tanzania? Na je, siku zote ni utaratibu gani ulikuwa unatumika ukaridhiwa na wote hadi leo tunaanza kuchinjana namna hii? Inasikitisha sanaaaa!
  10. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuelekea Mfumo wa Utangazaji wa Digital: Maswali na Majibu Muhimu

    Nimelhpenda darasa mi naomba ushauri niko mpakani na burundi huku sina uwezo na dstv je ting ya aal 003 inanifaa ? Maana antena hazishiki kabisa
Back
Top Bottom