Recent content by Embarna

  1. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyu Celtic kaamua kuwa JOKA LA MDIMU
  2. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu unamfaham kanji vizur lakin ????
  3. E

    Naibu Spika, Dr.Tulia hongera sana kwa majibu mazuri

    Hatuwez fanana, akili yako na yangu zinatofautiana kwa asilimia kubwa, Kama unaona nasifia ujinga Nina shaka na uwezo wa akili yako katika kufikiria na kuchanganua mambo ya msingi kwa wakat muafaka.
  4. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kang'aaaaaa !!!!!! Arsenal Apigwe hata 10 coz kaamua kupeperuka na kokoro
  5. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo natoka hivi wadau Villarreal - GG Nice - win & GG Werder Bremen - Win & GG Sparta R. - win Burssaspor - over 1.5 Vvv venlo - over 1.5 Jong Ajax - GG Oostende - GG Troyes - win & GG Dundalk - over 1.5
  6. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu hakuna namna yashatokea tayar. Let wait for tomorrow
  7. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Celtic n kenge pori totally
  8. E

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini

    Katibu kutenguliwa ni sahihi coz yeye ndo mtendaji mkuu ( anaratibu mambo yote)
  9. E

    Kura: Je, ungependelea kanisa la ufufuo na uzima lifutiwe usajili?

    Be careful mkuu, sio kila unalofikiri ww kuwa ni sahihi ndivyo na wengine watachukulia Kama ulivyochukulia wewe. Na sio vizur kuandika kuwa Baadhi ya Makanisa ni Hopeless eti tu kwa sababu hayajihusishi na SIASA
  10. E

    Kura: Je, ungependelea kanisa la ufufuo na uzima lifutiwe usajili?

    Kwa hiyo hicho ndo kipimo cha Akili yako???
  11. E

    Kura: Je, ungependelea kanisa la ufufuo na uzima lifutiwe usajili?

    Lisifutiwe usajili Bali lisajiliwe Kama chama cha siasa ili Ifahamike kabisaa kuwa linajihusisha na Siasa
  12. E

    Unabii:Siasa za vyama vya upinzani zinazikwa Rasmi 2020.Yanayokuja ni Makubwa kuliko haya mnayoyaona

    Hicho ndo kipimo cha akili yako. Umeandika upuuzi mtupu
  13. E

    Polisi wamkamata Gwajima tena. Afanyiwa upekuzi upya na kuachiwa

    Bora akamatwe tu, hakuna namna coz kazidisha ukuda yeye daily ni unaaaah tu kwenye MADHABAHU badala ya GOSPEL. Waumini tunahitaji kumfahamu YESU anayeokoa sio DAUDI BASHITE
Back
Top Bottom