Naibu Spika, Dr.Tulia hongera sana kwa majibu mazuri

Anayeona anatishwa kwa namna yoyote ile apeleke malalamiko yake kituo cha polisi.Bunge siyo kituo cha polisi.

Ningependa kuomba msamaha kwa ajili yako Mkuu

Nategemea police watakua makini na majibu mazuri ya kupatikana kwa Ben Saanane na tukio la Nape la kutolewa bastola kwenye press conference.

Tutegemee Polisi kumkamata yule 'mpuuzi' kwa maneno ya Nape aliyemtolea bastola, na hata Waziri husika aliamuru hivyo.

Kweli ninaamini maneno yako,
1+1 =3

Na hii jana, hata, Mwakymbe amesema wazi, juu ya kumtetea Mwenyekiti WA KAMATI YA ULINZI DAR akasema, "mnyonge mnyongeni haki yake mpeni" aendelee na kamati ya ulinzi kuwapora watu mali zao, vitisho na ujambazi uliokithiri.

Kwa hio aliyosema Naibu spika, ni mwendelezo ule ule..

Na yale maswala ya yule mbunge aliyegongwa na Bodaboda pale nje bungeni, na spika Ndugai kuomba waziri husika wajengewe stop sign, yalikua hayana haja, kwani kuvunjwa kwa sheria kwa Bodaboda mmoja, isiwe ni sababu na vitisho vya usalama juu ya wabunge wengine kwamba watagongwa pale bungeni?, mamlaka zipo na sheria zipo, Bodaboda yule atashughulikiwa tu! Kwanini Spika Ndugai aone vyenginevyo? Exceptional case?

Sasa sijui umenifahamu kwa hio comment hapo juu, but I doubt it.!
 
Huyu ni Mke wa Chatty Boy unadhani atasema nini wakati Chatty Boy na Wowowo Boy ndio wanao teka wanaowapinga?

JF inakaribia kubadilishwa jina kuwa makapuku Forum. Kuwa na watu kama nyie no hoja ila matusi tu is a disgrace to JF. Muwe mnaangalia mada na kazi ya muhusika na hoja. Je aliyetoa hoja alifuata sheria. Na aliyejibu alifuata sheria. Nchi hawezi kuendeshwa kama haja zetu binafsi za chooni. Hujui huyu anaharishA. Anakojoa. Anatema mate and anaenda kupunga upepo to mention them but a few. Sheria kwa sheria. Bungeni. Kweli Watake kuua hao watu Afu ishindikane. Sumu. Wanawake. Ajali. Risasi nk. Tena sasa hata mpinzani kama anaujua upepo na ukapuku wa watu kama nyie anawez hata kumpoteza mmoja ili nyie wenye majibu mbele muingie katika mantiki yake. Yani aibu sana wtz. Hakuna anayetulia na kutafuta the "real cause" of things wote tupo kama tumeandikishwa shule ya kata yenye walimu Wanne.
 
Anayeona anatishwa kwa namna yoyote ile apeleke malalamiko yake kituo cha polisi.Bunge siyo kituo cha polisi.
. Kwa mantiki hii,kama kunawizi na ufisadi serikalini vipelekwe polisi sio bungeni, kama kuna kunyanyaswa kwa Raia vipelekwe polisi sio bungeni,kama wafanyakazi wanadhulumiwa malalamiko yaende mahakama ya kazi siyo bungeni...
bungeni pawe mahala pakuisifia serikali na viongozi wake!!
hakuna kitu kibaya kama uzandiki....haya nimambo ya kizombie
 
Kama amejibu hivyo kweli basi tutegemee uvunjifu wa amani wa kutisha siku za mbeleni
 
Back
Top Bottom