Recent content by Emanueli misalaba

  1. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

    Aiseeee aya bhana
  2. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Breaking news: ndege yatua na tumbo Kilimanjaro airport

    Au walikuwa kwenye mazoezi ya uokozi hiyo
  3. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Ya mkuu kiongozi wa mhimili upi?
  4. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Leo tutoke kwenye madawa ya miti shamba na majini,tuje kwenye tafakuli kidogo.

    Aiseee, vipi mkristo anaweza kufanya meditation? Na afanyeje?
  5. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Ulaya wanafanya hayo, hapa 2020 walisema wapinzani wakipewa nchi, nchi itakuwa na u geryz mwingi, leo hao hao walivyo wanafiki hali ni mbaya, "you better watch your back"
  6. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Leo tutoke kwenye madawa ya miti shamba na majini,tuje kwenye tafakuli kidogo.

    Mkuu Psalm_23 naomba kupata elimu kutoka kwako, kwenye Avatar yako umeweka picha hiyo, ebu nisaidie kupata elimu hasa kwa mkristo
  7. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

    Ninachokiona kwa Deo ni kimoja tu hapo au Broo RESILIENT KATO unasemaje
  8. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

    Nyeee nyeee 2020 TAL asipewe kiti cha urais atatuletea ushonga, je huyo 20 mbona code zote za kuwa punga anazo
  9. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Namba 7: Siri Iliyofichwa Kila Kona

    Mkuu bless on asante kwa somo zuri, Nina swali nje ya somo, vipi namba 9 kiroho ina sifa zipi? Kwa kawaida mimba ya binadamu huzaliwa miezi 9, kwa nini mwaka usiwe na miezi 9? Maana hata namba huwa ni 0-9 hizi nyingine zinazozidi ni marudio. Mkuu naomba elimu kuhusu namba 9
  10. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

    Shukurani sana Mkuu
  11. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

    My Broo Pascal Mayalla tunaomba video ya Kiongozi wetu Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi hasa ukifanya mahojiano naye ili tusadiki kwamba yuko hai au kwamba hayuko House arrest
  12. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

    Wewe ni msemaji wa familia yake?
  13. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

    Mmmmmh sawa, TA huwa ni nani hasa,?
Back
Top Bottom