Recent content by Emanuel Gabriel

  1. E

    TUNATAKA, HATUTAKI

    TUNATAKA, HATUTAKI Tunataka uwekezaji, hatutaki uporwaji, Wao wachukue mji, tubaki watazamaji, Tunakemea ulaji, tunakataa upigaji, Hofu yetu urithi wetu...
  2. E

    Ushauri wa bure kwa mchezaji Feisal Salum baada ya mchezo wa marudio kati ya Taifa Stars na Uganda The Cranes

    Kujaribu kuvunja mkataba bila kufuata utaratibu unaokubalika na utoro kazini
  3. E

    Hesabu zinambeba Yanga SC kuwa bingwa CAFCC 2023

    Tujifunze kukiri kuwa timu zetu zimeimarika!
  4. E

    Hayati Magufuli ni Thomas Sankara wa Tanzania. Atakumbukwa kwa kufanya makubwa ndani ya muda mfupi

    Kutakuwa na mapungufu katika taarifa zako ; Thomas wa watu kupigwa risasi, kuuwawa hovyo na kupotezwa?
  5. E

    Mwl Nyerere: Tunataka kuona Vijana Jasiri, wanaohoji mifumo Kandamizi, Wasiotikia Ndiyo Mzee

    Napenda kufahamu. hii hotuba ni ya lini?(mwaka gani?) Kuna marejeo yoyote?
  6. E

    Nchi inayumba- ombwe la uongozi

    OMBWE Tuzimulike asasi, za umma na binafsi, Malengo yake asisi, tuanze kuyaasesi, Hasa wetu maafisi, muhimu tuwadadisi, Ombwe linaoneka, wakuliziba ni sisi Akali tunaiona, kwenye zetu taasisi, Kwenye viti wametuna, hasa waziba nafasi, Wengi waliojazana...
  7. E

    Serikali

    SIRI-KALI Vipaa mbele 1. posho/mafungu 2.safari/ziara 3.sherehe/fungate 4.uzinduzi 5.tume.nk Vipaumbele 1 elimu 2 afya 3 miundombinu 4 nishati nk
  8. E

    Muungano siyo utengano

    MUHUNGANO SIYO UTENGANO Siyo siri pamoja na kuwapo kwa tafsiri na aina tofati ya miungano duniani kote miungano yote yenye mafanikio ni ile iliyoweza kuzaliwa na kukua kupitia tafsiri na falsafa sahihi ya muungano yaana kuacha kujitegemea au kuwa pekee na kuwa pamoja au kitu kimoja...
  9. E

    Ajali mbaya mkoani Singida: Watu kumi na tatu wafa papo hapo

    Mungu awape ujasiri na awatie nguvu wafiwa wote
  10. E

    Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    Siku moja Damu isiyohatia itawalilia watu wanaohusika na unyama huu, pole sana Tanzania.
  11. E

    Na nembo hii hatuitaki kwenye shirikisho letu

    :boom::boom: dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu....................,... watanzania hatutakuwa na faida ya kujivunia mazingira ya migawanyiko, tuache fikra za kibaguzi,kirafi na kibinafsi, tutafakari na tui tazame kesho yetu kwa makini. tukishindwa kufikiri juu ya kisho yetu...
Back
Top Bottom