Na nembo hii hatuitaki kwenye shirikisho letu

Na nembo hii hatuitaki kwenye shirikisho letu

Status
Not open for further replies.
Hawa jamaa Wazanzibari taachane nao.Hakuna cha maana tunachofaidi kutoka Zenji kwenye huu muungano.Kuna mzenji univ.graduate aliwahi kuniambia kuwa,muungano ukivunjika,kuna matajiri wa kiarabu wako tayari kuisaidia zenji kila kitu.
 
Kila la heri Zenji muondokane na ushenzi wa CCM. Rais wenu asitoke Dodoma tena!
 
Hili sasa ni hatari
nembo-tanganyika.jpg

nembo ya tanzania

nembo ya tanzania ni ngao ya askari inayoshikwa na watu wawili.

Ngao ina sehemu nne: Juu sehemu ya dhahabu, chini yake bendera ya taifa, halafu sehemu nyekundu na chini kabisa sehemu ya buluu-nyeupe
a) robo ya juu inaonyesha mwenge wa uhuru juu ya rangi ya dhahabu inayokumbusha juu ya utajiri wa madini ya taifa
b) robo ya pili ni bendera ya tanzania
c) rangi nyekundu inamaanisha ardhi nyekundu ya afrika na kilimo kama msingi wa maisha ya watu.
D) milia ya buluu na nyeupe katika robo ya nne inamaanisha mawimbi ya bahari na maziwa kwenye mipaka ya nchi pamoja na bahari inayozunguka zanzibar kama sehemu ya jamhuri ya maungano.

Juu ya sehemu hizi kuna mkuki na majembe mawili yanayokumbusha juu ya utetezi wa uhuru na umuhimu wa kazi katika ujenzi wa taifa.

Ngao yote imeviringishwa na mapembe ya ndovu yanayomaanisha utajiri wa wanyamapori na hifadhi za taifa.
Ngao inalala juu ya mlima kilimanjaro ambayo ni mlima mkubwa wa tanzania.

Watu wawili wanaoshika ni mwanamume na mwanamke kama dalili ya ushirikiano wa jinsia zote mbili taifani. Wanasimama juu ya mpamba na mkarafuu ambayo yote inazaa mazao muhimu ya kibiashara ya tanzania bara kwa pamba na zanzibar kwa karafuu.
Kanda njano ya maandishi chini ya ngao huonyesha wito la taifa “uhuru na umoja”


dreceres ràpides: Navegació, cerca
coa_tanganyika_1.jpg
 
Nafikiri walifanya hvo makusudi kwa kuwa walikuwa wanajua muungano hautakuwa WA kudumu hvo hawakutumia muda mwingi kudesign nembo mpya!?Kuhusu uwakilishi WA tamaduni za Zanzibar ktk nembo,sidhani km wa-zenj wanatamaduni zaidi ya kudandia zile za mabwana zao,waarabu.Ambazo ingekuwa ni matusi kuziweka kwenye nembo ya taifa huru!
kijana Deony vipi wewe hujakula lunch; Mbona unakurupuka na kutoa povu? hapa wenye heshima tu wanachangia mada, samahani kama chuki imakujaa na Rolo lako lina bughudha tafadhali poa na tafuta jukwa la matusi ukayamalize yalo moyoni.
 
Wapeni haki zao.

:boom::boom: dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu....................,... watanzania hatutakuwa na faida ya kujivunia mazingira ya migawanyiko, tuache fikra za kibaguzi,kirafi na kibinafsi, tutafakari na tui
tazame kesho yetu kwa makini. tukishindwa kufikiri juu ya kisho yetu, angalau tufikiri juu ya kesho ya
vizazi vyetu.
 
Wapeni haki zao.

:boom::boom: dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu....................,... watanzania hatutakuwa na faida ya kujivunia mazingira ya migawanyiko, tuache fikra za kibaguzi,kirafi na kibinafsi, tutafakari na tui
tazame kesho yetu kwa makini. tukishindwa kufikiri juu ya kisho yetu, angalau tufikiri juu ya kesho ya
vizazi vyetu.
 
Bila ya shaka wewe ni Mzanzibari unayeishi London, si hilo tu naona pia wewe ni mtu unayeishi nje na familia yako hivyo ukichochea hupati shida maana hutaadhirika, badala yake utaomba Waingereza wakuone wewe ni mkimbizi maana kwenu Zanzibar hakuna amani wakati umeivunja wewe. Tukuhesabie wapi wewe? wewe ni mzalendo wa kuharibu au mwenye kufukutisha maasi?

Ndugu yangu kwa takriban miaka karibia hamsini, maana sasa ni miaka 49, tumeishi na nembo yetu ya Taifa na muungano wetu bila chokochoko za watu kama wewe. Tuachie tuishi vema wewe endelea kula nchi huko Uingereza.

Mimi ninaloona ni kuwa watanzania wengi (chini ya miaka 49) wamezaliwa Tanzania na ni watanzania, haijalishi wametoka Unguja, Pemba au Tanganyika, na kwa hali ilivyo hawa wanayoijua ni Tanzania. Ila ninaloona kuna wachochezi wachache kama wewe ambao wanawachochea hawa vijana wetu ili waone muungano ni mbaya ni balaa ni dhuluma na mengine yote. Jamani acheni hayo tujenge nchi, hii inatukosesha kwenda mbele na kuangalia maboresho ya nchi yetu. Mlitaka Serikali Tatu ndani ya muungano, sasa inakuja, mnataka mjitenge, Wazanzibari wachochezi mnataka nini?????
 
Utakataa mpaka mtoto uliozilishwa na mbara!!Mbona hukatai pesa ya tende unayohongwa na mkoloni wenu...Nyinyi hamtoki milele mtalialia mwishowe mtasema utamu unaingia sasa baada ya kuwa unapanua mipaka mpaka mtwara lindi tanga nk.tehetehe chezea sisi wewe
 
Wapeni haki walibearli jamani "haki sawa kwa wote". mwananume kuolewa, sawa, ili mradi haki sawa tu.
 
Mtaanza lini mchakato wa katiba ya tanganyika?
 
umesahau jambo moja au mawili:
-Na watu wa Zanzibar asili yao Tanganyika ....hivyo almost kila kilicho cha Tanganyika kina uhusiano nao; isipokuwa mabaki machache wa wakoloni(?) wa kiarabu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom