Recent content by eman jaruri

  1. E

    Dr. Magufuli acha kuwaonea dagaa mchele, anza na hawa nyangumi

    ndo kwaza rais amengia ofisini tumpe mda afanye kazi
  2. E

    Waziri Mkuu afanya ziara ya ghafla bandari, aamrisha kukamatwa kwa maafisa wa TRA

    safari ni hatua. leo kashtukiza bandari ,kupitia hili sector zingine wanajirekebisha ni hatua nzuri
  3. E

    Rais Magufuli afuta sherehe za maazimisho ya siku ya UKIMWI, fedha zinunue dawa...

    kutoa ushari ni kitu endelevu na hakipaswi kutengewa siku.Mtanzania alieko mbali na maadhimisho yanakofanyika anaupataje ushauri? kuhusu ushauri zijengwe VTC kila kituo cha afya kuleta effectivenss na sio kuadhimisha siku ili kutengeneza nafasi ya watu kujilipa posho
  4. E

    Maamuzi Magumu ya Magufuli Yatakavyojenga Heshima Mtaani na kuathiri Uchumi

    hapo imeathiri uchumi kivipi? imejenga uchumi kwani national cake inakuwa equally divided na kupunguza gap kati ya walionacho na wasio nacho.wakati watu wachache wanapesa za kuchezea kwa kuhonga vibinti kuna watu wanakosa dawa hospital.hivyo badala ya kusema uchumi utaharibika uchumi unajengeka
  5. E

    MWISHO WA DUNIA umewasili

    Yalisha semwa mengi kuwa mwaka 2000 ndo mwisho wa dunia na kwamba na computer zitazima lakini ilifika na imepita sasa miaka 15 hakuna lolote jipya hivyo, hakuna ajuae siku wala saa kikubwa ni get ready any moment it may be 2morrow au hata after another karne
  6. E

    Asilimia 82 ya wanafunzi wakosa mikopo 2015/16

    lina uhusiano gani na rais mpya ,kama kuna tatizo la mikopo halimhusu limetokea kabla coz hata sasa tunavyo ongea hajaapishwa bado.Kukosa mikopo halina connection na HAPA KAZI TU
  7. E

    Lubuva anatangaza matokeo ya rais wa nchi gani ??

    Matokeo ni ya jamhuri ya Muungano wa Tz,yalofutwa ni ya zenj hayana uhusiano kabisaaa wasimamizi tofauti,vitambulisho tofauti daftari la wapiga kura tofauti na mamlaka zilizosimamia ni tofauti
  8. E

    Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    matokeo yanayosomwa ni yalotoka majimboni na kila wakala ana copy,na yamesainiwa na mawakala wake tatizo ni kushindwa au?
  9. E

    Kama kuna siku CCM imefanya sombasomba basi ni leo

    maendeleo ni process na sio event,changamoto zipo tunazijua na kiongozi anaeweza kuziondoa ni Dr Magufuli "hapa kazi tu" habari ya kusombwa sio issue anaekubali kusombwa ni dhahiri yuko radhi kuhudhuria mkutano pengine tatizo ni usafiri wa kumfikisha hapo.kibaya ni kuleta mtu wa mkoa mwingine...
Back
Top Bottom