We live our life men!! ( tunaishi maisha yetu) alisikika jamaa mmoja, mtanzania kama siyo yule mwingereza akampiga superglue mdomoni jamaa akakosa ajira , yeye akaendaelea kuomba kazi , usiwaamini hawa watu ni wachuro sana, wanapenda uwe na shida, uwaombe ombe, ila kama unaweza kajiajili ni...