Recent content by elyamuia

 1. E

  Natafuta kazi shule binafsi kufundisha masomo ya sanaa

  Ndugu Habarini, Natumaini nyote ni wazima humu ndani. Mimi ni kijana Mtanzania niliyekuwa nimeomba maombi ya ualimu Serikalini lakini kwa mipango ya Mungu nikakosa nafasi hiyo. Hivyo naomba kwa yeyote ambaye anayeweza kunisaidia shule yoyote ya Private kwa ajili ya kufundisha nimtumie CV...
 2. E

  Ndugu yangu anataka kazi TRA

  Asante kwa taarifa Ndugu
 3. E

  Ndugu yangu anataka kazi TRA

  ASANTE kwa Taarifa Ndugu,Wameanza lini Zoezi na Mwisho Wake Ni Lini,?
 4. E

  Ndugu yangu anataka kazi TRA

  Anataka Kuomba.
 5. E

  Hata sasa Mungu amenisaidia. Hakuna lililopo chini ya jua litakaloshindikana

  Asante Ndugu.Lazima niende nikamshukuru Mungu kwa baraka alizoweka juu yangu.
 6. E

  Hata sasa Mungu amenisaidia. Hakuna lililopo chini ya jua litakaloshindikana

  Ndugu Habari. Namshukuru Mungu amenisaidia sana katika wakati mgumu niliopitia wakurushiwa roho chafu za ndoto. Kipindi cha nyuma nilileta mada ya ndoto nilizokuwa naziota na za kunitesa nafsi Yangu. - Nimeota napambana na paka mwitu Jeusi la kutisha kwa kupigana nalo kwa muda mrefu. Naomba...
 7. E

  Baada ya maombi(application) walimu tutaajiriwa lini?

  Asante Ndugu Kwa kututia Moyo Tunasubiria Kwa hamu Tukalitumikie Taifa Rafiki
 8. E

  Baada ya maombi(application) walimu tutaajiriwa lini?

  Asante Ndugu,Tuzidi kuombeana Mungu atasimamia Hili.
 9. E

  Baada ya maombi(application) walimu tutaajiriwa lini?

  Asante Ndugu.Nimepata Mwanga Mzuri
Top Bottom