Wewe ni zuzu. Swla la ndoa humalizwa kifamilia sio kimtandao. Ni kama umejipaka kinyesi kwa kuweka mambo yako private huku. Kama nmekuwa na uwezo wa kuwa na kampuni 2 kwanini hadi sasa mpange? Ulishindwa kujenga hata vyumba viwili? Au ndio maisha ya kujishoo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Huna akili wewe, badala ya kufanya kazi umekazana kuchunguza maisha ya watu. Tulikuwa tunasema wanawake ni wambea ila baadhi ya wanaume kama wewe ni zaidi ya mwanamke kwa umbea. Fanya kazi Acha kufuatilia maisha ya watu, Eti hummer. ... wewe unashangaa Hummer! Jifunze kuwekeza, tumia muda...
Mwenzako kaweka video sio maneno matupu! . Nb: ktk videos zote nilizoziona hakuna mahali uligusia mchango wa harusi. Na kama ni mchango wa harusi kwa nini ulihofia kurekodiwa? Kwani kweny harusi kuna siri?
Bro ukimchunguza bata Huwezi kumla.
Najuwa psychologically hautakuwa sawa hata miaka 50 ijayo, na uaminifu kwa mkeo utakuwa imekwisha hata aje akupigie magoti bado kumbukumbu itakuwepo tu!
Achana na huyo mwanamke na tafuta chombo kingine usijipe magonjwa ya moyo sbb hata maandiko...
Am not very much good in English but what I have just grasp here is Accacia will not going to pay that huge amount. It is as if they're laughing at us.
"Accacia refutes each set findings and re-iterates that it has #fully #declared all revenues "
[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii...
Uoga wako ndio kifo chako. . Hakuna kiarabu hapo hayo ni maandishi ya kitapeli tu. Acha Uoga! Ila kama mpenz wako ameanza kwenda kwa waganga temana nae.
Kama wanaendesha biashara kwa hasara kwanini hawashuki ktk soko la hisa la London ex. ?
Pili wangewezaje kufunga safari kutoka Canada kuja Tanzania kufuata biashara ya hasara? Ifike hatua tuwe na mawazo mapana katika hili. .
Tusitegemee mzungu kuja kutawala kama enzi za Ukoloni kwani kwa sasa...
Mwenye kusoma kwa makini bila kuweka itikadi za siasa ataelewa Lisu amemaanisha nini. KATIKA ZIMA MOTO
Ukiwa kama fire brigade unafundishwa kuelekeza extinguisher kweny fire Base.
Ambapo mikataba ndio BASE ya huu moto tunaouona.
Ndicho anachomaanisha Lisu!
Mbona imekaa powa tu.. ni swagger flani tu. . Sioni kitu binadamu anaweza kufanya halaf kikamridhisha kila mtu. Whatever u do people will make a comment.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.