Recent content by eltontz

  1. E

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza ameandika haya kwa maslahi ya taifa kwa fasihi nzuri

    Namba 11
  2. E

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Nyerere na mradi wa bomba la mafuta kutoka Uganda ni miradi ya juhudi binafsi za Hayati Magufuli

    Unalinganishaje Rais aliyetawala miaka 10 na aliyetawala miaka 5?
  3. E

    JamiiForums Tanzania BUKOBA: Sababu za umasikini wa mkoa wa Kagera! #2

    ""Chepe la pili katika kaburi la umasikini wa Kagera ni vita vya Kagera ambavyo vilipiganwa ndani ya ardhi ya Kagera. Mkoa ulisimamisha uzalishaji kipindi chote cha vita. Mashamba yaliharibika, mifugo ikapotea pia kuna vifo vilitokea, baadhi ya wakazi wakawa wakimbizi. Mkoa ukawa kama...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

    Size of Ukraine = 603,548 km² and Size of Tanzania =945,087 km²
  5. E

    JamiiForums Tanzania Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

    Ungemalizia mstari wa 12 ambao unaweka bayana uhalali wa vitu
  6. E

    JamiiForums Tanzania Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

    Inakataza kunywa na kuingia mahali pa kukutania yaani sehemu ya ibada
  7. E

    JamiiForums Tanzania Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

    Basi wafungie na mahotel ya kitalii ; watu wapo uchi fukweni....si wanataka maadili ya dini?
  8. E

    JamiiForums Tanzania Askofu Dk Stephen Munga wa KKKT, avuliwa Uchungaji, Wachungaji 7 Wasimamishwa

    Ndio maana DMP hawakumsikiliza wakati ule....kwa ufupi mkuu wa kanisa ni "ceremonial" hana madaraka ya moja kwa moja kwenye dayosisi labda ile anayoiongoza.....
  9. E

    JamiiForums Tanzania Askofu Dk Stephen Munga wa KKKT, avuliwa Uchungaji, Wachungaji 7 Wasimamishwa

    Kikatiba, hana madaraka makubwa kwenye diosisi zingine; hapa ndio kuna tatizo
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nchi hii hata watu wote wawe na Degree moja, haiwezi kuendelea

    Sasa kama wasio na degree na ambao ni wengi wanamaendeleo yasiolezeka sasa mbona unasema nchi haiwezi kuendelea? Si tayari ishaendelea tayari kwa hisani ya wasio na degree?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Marekani na Korea kusini wamepagawa baada ya kuona Submarine Nuclear ya Korea Kaskazini

    Anaitwa : Respected Comrade Kim Jong Un
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Freeman Mbowe akimpa tuzo Hoyce Temu (sasa Balozi mteule)

    simu ya mkononi...
  13. E

    JamiiForums Tanzania CNN: After death of Covid-denying president, Tanzania sets roadmap to combat the virus

    Bethlehem Feleke and Larry Madowo reported from Nairobi, Kenya, and Nimi Princewill reported from Abuja, Nigeria.
Back
Top Bottom