Marekani na Korea kusini wamepagawa baada ya kuona Submarine Nuclear ya Korea Kaskazini

North Korea anawekeza kwenye kilimo kuliko hata unavyofikiri na tatizo la njaa limekabiriwa Kwa kiasi tangu Kim Jung un ashike uongozi.

Usisome Tu propaganda Tu za west Pekee pitia Pia tovuti za North Korea uone miradi mingine tofauti na hayo makombora unayoyasikia kila siku.
yaan niamin habari kutoka kwa makomunist!!.
 
Dunia ina double standard sana.

Hivi karibuni USA ilitoa tenda Kwa nchi ya Australia kuunda Submarine Nuclear na Korea Kusini wanafanya jaribio la kombola kutoka kwenye nyambizi.

Mpaka sasa ni nchi kama Saba zinazoweza kuunda Aina hii ya nyuklia.

USA haikufahamu kuwa Korea Kaskazini ina uwezo wa kuunda nuclear submarine.

View attachment 1981058

Na kuthibitisha kuwa nchi ya Kim Jung Un ina hiyo technolojia muda mrefu, Jana Korea Kaskazini imefanya jaribio la kombola la nyuklia kutokea kwenye nyambizi.

Hili limewashtua USA, Japan na Korea Kusini. Cha kushangaza USA na UK wanaunda Aina hii nyuklia na Korea Kusini pia wamefanikiwa jaribio.

Hawa kwao ni Sawa na maendeleo ya teknolojia Ila Taifa jingine likifanya wanaonekana washari.

Wataalamu wa silaha za nyuklia wanasema submarine Nuclear ni ngumu kulitrack.
marekan yupi aliyepagawa?? Ebu kaa kimya jifunike ulale ukue😇🤣
 
Nashangaa ivi Tanzania na Korea kaskazini ni nchi IPI yenye uchumi mkubwaa
 
We pambana na Mbowe kuwekwa ndani,wananchi wa Korea hawajawahi kuja kuimba Chakula geto kwako.
CCM ina wenyewe kaa kimya wewe Toilet Paper, baada ya matumizi nikutupwa chooni.
Gekul, Waitara, Silinde, Katambi, Mashinji, Silaa, Lijuakali.... Endelea kupoteza bando...
 
Haya Chora 7 nikunyonye kundru Hilo mke wangu.
 
Izo zote zimatengenezwa na Russia, wala sio North Korea
Unachokiongea hakipo sahihi, submarine zilizotengenezea wakati WA USSR zipo 20, submarine 52 ikiwemo hii zimetengenezwa Korea Kaskazini.
IMG_20211021_122625.jpg
 
Back
Top Bottom