Nilikua chuo mwaka wa tatu, nyumbani hawajui kama mm ni mjamzito, ila nilikubaliana na matokeo ya ujauzito na nilipambana sana kupata matokeo mazuri ili mama yangu afurahi coz ndo alikua ananilipia ada...hyo ya atajisikiaje akijua nina mtoto itajulikana mbeleni but cha kwanza nigraduate tu! By...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.