Asante kwa ushauri mkuu,ndio yupo anasoma hiyo mitihani ya board..i just pray afaulu then tujue tunafanyaje .Ningependa afanye kazi za procurement ili awe competent in her field and use the knowledge she got from school.
Mkuu If you can give her even internship ili asikae tu home coz her...
Habari wana JF,naombeni msaada wenu natafuta kazi ya procurement kwa ajili ya mdogo wangu wa kike nimemsomesha kwa shida sana sasa kamaliza na kafaulu vizuri ila hana kazi.Jambo hili linanisumbua sana.
Kwa yeyote anayejua hata sehemu ambayo anaweza akapata hata intern naomba anisaidie kunipa...
Nafurahi kuulizwa professional coz naona kama vile kuna kimwanga kinataka kutokea hahhaaha!.I am a business woman by professional specialized in marketing.
Mbona alipokuwa huko hakusema haya yote mbele yao na kuwaelewesha hao wanzungu ,kaja huku ndio kuongea kwenye vyombo vya habari,hiyo ni siasi ya woga na juhudi za kujijengea jina na kujitafutia umaarufu,acha hizo kiongozi.
dUH WANDUGU MBONA SIKU HIZI KAI NGUMU HIVI KULIKO HATA KUPATA DEGREE SASA SISI MA JOB SEEKERS TUTAFANYAJE. I AM A JOB SEEKER PLSE WENYE NETWORK ZENU HELP ME.
Napata wakati mgumu kujua hasa in kipi cha muhimu zaidi kati ya kupenda na kupendwa na ni kipi ambacho watu tunahitaji,je tunahitaji kupendwa au tunahitaji tupate watu tutakao wapenda katika maisha??Je wewe kijana anayetafuta mwenzi unataka nini haswa ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.