Picha mbili passport size,na barua ya mtendaji Wa kijiji basi account saa hiyo,Ila ATM card itabidi kusubiri kidogo,NMB bank lkn benki zingine sijui wana utaratibu gani kwa kweli.
Kwani kwa Wahazabe imehalalishwa?Kudai sio kwamba inakua haki yako ya msingi, na kuvunja sheria haikupi upendeleo kwa sababu tu haujui hiyo sheria kuwa in kosa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.