Jitibu mafua kwa kutumia sigara.

Jitibu mafua kwa kutumia sigara.

Sifa kubwa ya msomi huwa hatoi majibu pasi na kutoa facts.

Sasa hako kajamaa kanabisha lakini ukikiiuliza kinabisha nini hakijui.
hapana mkuu sijakubishia but me pia nipo kwenye kautafiti kangu na taratibu naanza kuona mwanga.
 
Kibali cha research yako weka hapa ili tuwe na uhakika
 
Dawa ni hii[emoji116] [emoji116]
dbbe1014212d812fbfa85fe2f6337720.jpg

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Mafua yanasababishwa na virus siyo bacteria.
Ni kweli, tena virus wanaosababisha mafua wapo wa aina (Strains) nyingi na tofauti na pia ukali (virulence) wa mafua wanayosababisha. Rejea mafua makali ya ndege (HN1) yanaua wakati mafua mengine yanakukosesha raha tu.
 
Acha Sigara wew Bangi ndo Tiba sahihi ya Mafua ya aina yoyote adi Mafua sugu Vuta zako bangi msokoto mmoja tu ukiamka kesho mafua kwisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom