Recent content by Elon J

  1. Elon J

    JamiiForums Tanzania JF bado ina watu wema. Ndugu Kalaga Baho ni miongoni mwao.

    Nipo kiongoz
  2. Elon J

    JamiiForums Tanzania JF bado ina watu wema. Ndugu Kalaga Baho ni miongoni mwao.

    Kalaga Baho Nongwa mtu mmoja poa sana. Mungu ambariki sana huyu brother.
  3. Elon J

    JamiiForums Tanzania kiburi kwenye biashara kinasababishwa na nini?

    Huu mtandao ushakuwa wa kidwazi kinyama, hata kuweka Hela kubwa kwenye account ya tigo pesa inatia hofu. Maana huduma zao hazitabiliki. Mfano saiv menu za vifurushi hazifanyi kazi na tigopesa pia.
  4. Elon J

    JamiiForums Tanzania Tigopesa hakuna huduma

    Siyo tigopesa tu hata menu zao za vifurushi hazifanyi kazi,ukipiga huduma Kwa wateja wanasema number ipo busy. Tigo siyo mara ya kwanza ndan ya huu mwez huduma zao kutoweka na hawaombi radhi,.
  5. Elon J

    JamiiForums Tanzania Sokoni zinapuuzwa biashara zote zisizozingatia mambo haya matatu

    Unique ni Moja ya strategy Moja kubwa ya biashara like iphone.
  6. Elon J

    JamiiForums Tanzania Kuepuka prostate cancer

    Ukiwa kwenye hali hyo inatakiwa kulambwa siyo kuila😂
  7. Elon J

    JamiiForums Tanzania Kuepuka prostate cancer

    Kwa tafiti hizo mapadri wote wangekuwa na tenzi dume
  8. Elon J

    JamiiForums Tanzania Bunge laondoa kigezo cha kupitia JKT na JKU kuajiriwa vyombo vya ulinzi

    Acha mawazo hasi.. Kumbuka kwenda jkt Kwa mujibu wa Sheria ngazi ya kidato Cha sita siyo wote Huwa wanachaguliwa kwenda JKT, hivyo kutumia kigezo Cha JKT ktk ajira nyingi hasa za ulizi unakuwa unawakatili Hawa ambao hawakubahatika KUJIUNGA na hyo JKT
  9. Elon J

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani; Nina hali ngumu sana, nisaidieni kazi niweze kujikwamua

    Pole kiongoz,,Sasa huyo uliyekuwa ukiishi nae hamkutambulishana hata Kwa ndugu kujua ndugu Zake.
  10. Elon J

    JamiiForums Tanzania Kama haujawahi kunywa energy drinks Hongera na Jiepushe nazo. Kama umezoea kuzitumia Tafadhali weka mpango wa kupunguza na kuacha

    Kinywaji kikisha kuwa na masharti mengi kiogope kama ukoma,. Usinywe zaid ya mbili 1 day Usinywe wakati wa kulala Mjamzito hurusiwi kutumika
  11. Elon J

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu NIT Second round

    Duuu! Hapo Hamna jipya,,mngejarbu kufatilia direct chuoni
  12. Elon J

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu NIT Second round

    Shida lugha au? hapo application imekamilika but inamaana muendelee kusikilizia mpka majibu yatakapo toka. Na mara nyingi Kwa second selection inaweza chukua cku 4-5 kupata majibu.
  13. Elon J

    JamiiForums Tanzania Tahadhari za kuchukua wakati wa mvua za radi

    Ivi radi ni living organism au non living organism
  14. Elon J

    JamiiForums Tanzania Binti mrembo pisi kali, kwao maisha mazuri lakini ni kondakta wa Basi

    Hao Tilisho bus wame ajiri pisi kali nyingi Kuna kale kengine wanakaita nice.
Back
Top Bottom