Kabisa inabidi lifanye tathmini na kurekebisha Sheria ya mpaka kifo kiwatenganishe, kuna haja ya kuwa na makubaliano ya kuvunja ndoa za kikristo maana hawa viumbe tulioumbiwa hatujui waliongea nini na nyoka.Tusipoangalia kanisa litabaki na wachungaji na mapadre
Kabisa inabidi lifanye tathmini na kurekebisha Sheria ya mpaka kifo kiwatenganishe, kuna haja ya kuwa na makubaliano ya kuvunja ndoa za kikristo maana hawa viumbe tulioumbiwa hatujui waliongea nini na nyoka.Tusipoangalia kanisa litabaku na wachungaji na mapadre maana tutaishia kubadilishana...
Hii kesi mboga mboga wanataka kumfunga ili kuwafunga watu midomo,lakini uasi na ugaidi Kwa sasa yamekuwa maneno ya kawaida Sana katika nchi ya kusadikika, Kwa kuwa lisemwalo lipo lisipokuwepo laja,uasi na ugaidi wa kweli utatokea kwenye hii awamu mboga mboga wataendelea kujichimbia shimo lao...
Hujashikwa na kipururu vizuri wewe,kikikushika vizuri mbona pale utawaona maslay queen kibao.Hivi umeshawahi kumuona demu mmoja mnene mweupe amejichora tattoo ya kipepeo kifuani anauza Kwa pembeni ya sheli ni hatari toto jeupee nyashi lainii na Lina miuno ya paka chongo utachanganyikiwa
Wengine si wafuasi wa vyama lakini tunafurahia kuona wale viongozi wa watesi wetu wakipatwa na misiba au hata kufa kabisa,tulipofikia mnaamini watanzania hawawezi kuwafanya chochote ni ila kuna Mungu na kulipa kisasi ni kazi yake lazima tufurahie kazi ya Mungu na ukuu wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.