Recent content by Elly official

  1. Elly official

    Tutasogeza tarehe mpaka uchaguzi uwe mdomoni. Game itakuwa Over

    Hawajui nguvu ya watuwanaoambana nao, na sikuzote mwenyekitihatumii akili kufikiria
  2. Elly official

    Tutasogeza tarehe mpaka uchaguzi uwe mdomoni. Game itakuwa Over

    Hawajui nguvu ya watuwanaoambana nao, na sikuzote mwenyekitihatumii akili kufikiria
  3. Elly official

    Wi-fi router za yas saiv ndio habari ya mjini, utaenjoy hadi basi!

    . I natumia halotel ya, 50 k japo speed sio kubwa sana km tigo ila uwezo wangu umeishia hapo. Tigo wangekuwa nayo ya 50 ningekimbia faster
  4. Elly official

    Huyu hapa Ofisa wa Magereza aliyemfokea Lissu Mahakamani na kuzua Mzozo

    Hicho kinyago chenu kina dharau sana, yaan kapo mahakamani unaona tu utadhani kapo club anafanya no reform hadiahakamani acua wamnyoshe tena wamnyongelee mbali maana kwa kauli yake mwenyeqe alisema anahamasisha uasi
  5. Elly official

    Nani Atamwokoa Tundu Lissu, Mwanaume Anayeota Tanzania Tofauti?

    Amkeni bwana hivi mko wapi. Kwa akili zenu mnajua lisu ana mapenzi na tanzania, kwamba anafungwa, alikosa kuuawa hivi vyote anawapigania watanzania. I am sorry for you. Lisu anatumika na beberu
  6. Elly official

    Dini ni uongo unaopumbaza na kuendeleza fikra za kitumwa

    1. UTANGULIZI Katika historia ya binadamu, dini imekuwa na nafasi kubwa katika maisha ya watu—ikiwapa matumaini, maadili na mwongozo wa maisha. Lakini katika upande wa pili wa sarafu, dini pia imekuwa kifaa cha kihistoria cha udanganyifu, unyonyaji, uongo, na utumwa wa kiakili. Kwa bara la...
  7. Elly official

    Wanawake Mungu anawaona mjue

    Yaan unausafiri unaenda gest ya choo cha nje, yawezekana ww ni bodaboda
  8. Elly official

    Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

    Unampa buree kabisa, yeye pia anakupa bure ujue!!!!
  9. Elly official

    Una habari? Wanasayansi "wameiona" Safina ya Nuhu wa Biblia

    Katika historia ya mwanadamu, dini imekuwa mojawapo ya taasisi zenye ushawishi mkubwa duniani. Imeongoza mataifa, imetuliza nafsi, imeeneza maadili, lakini pia — kwa mtazamo wa wachache wanaojitambua na wanaojiuliza maswali ya msingi — dini ni mfumo wa kihadaa uliobuniwa ili kuwatumikisha wengi...
  10. Elly official

    Una habari? Wanasayansi "wameiona" Safina ya Nuhu wa Biblia

    Bibilia ni kitabu cha historia, kuna hqbari za kweli, kuna habari za kutunga hivyo ugunduzi wao unaweza kuwa kweli ila kwwnye bibilia tunasoma safina ilitulia juu ya kilima gani vile na kipo nchi gani hicho kilima kasome vizuri kama hakipo ugiriki tafiti zao za uwongo
  11. Elly official

    Nina miaka mitano sijala UGALI

    Vijana wa 2000 nawaangalia tu. Mwingine kasema sili ugali nakula mihogo, nk hapo sasa ndo umekwepa nn. Ki msingi katika nchi zinazoendelea kuacha kula vyakula vua wanga ni ghatama kubwa na kula wala usiwaze sana mi huwa nakula ninachojisikia kula siku hiyo
Back
Top Bottom