Miaka mingi iliyopita Brazil walikuwa na zoezi kama letu,walikuwa wanahamisha makao makuu ya nchi yao kutoka Rio de Genero kwenda Brasilia kwa sababu kama zetu yaani ukatikati na usalama, wakapita viongozi wengi watu hawahami kwa sababu copy right na za kwetu, Rio n jiji lipo pwani, beach za...
Tusiogope ukweli,keels itatusaidia kupanga mipango yetu vizuri.Tafiti hupingwa kwa tafiti.Kutoa tahadhari pia ni uzalendo.Tafiti nyingi za athari za uharibifu wa mazingira yakiwamo mabadiliko ya tabia nchi zinaeleza kuongezeka kwa level ya maji ya bahari kutokana na kuyeyuka kwa barafu north and...
Ukiangalia watu ktk Agano LA Kale walivyoishi ni kama mababu zetu kabisa. Wafalme walioa wake wengi, mahawara kibao,kinywaji kwa kwenda mbele ,ngoma na sherehe kibao na Mungu aliwapenda na kuwabariki though waliua na kuwanyanganya wenzao wake zao hivyo hata mababu zetu watahukumiwa kama hao kina...
Wachina ,Wajapani,Wakorea na wahindi wana dini gani? Kati ya wao na wakristo/waislam nani amemcopy mwenzake? Kwanini wao wanaendelea?Je ni kweli MTU asiye na utamaduni wake n mtumwa? je kama umepoteza dini yako unaweza kuwa na utamaduni wako?
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifikiria kusajiliwa rasmi kwa hiki chama, hakika kitakuwa chama chenye nguvu sana.Kitapigania haki za wanywaji kama usafi kwenye mabaa hususan glass na maliwato, kutetea bei za vinywaji zisipande holela nk ,Hakika kila chama cha siasa kitataka urafiki na CHAWAKITA kwa...
Usijilaumu sana, zama zinabadilika haraka sana zama za kina Ole Konchellah, Ole Saibul,Lepillal Ole Molloimet, Benedict Lesuritia, Edward Mbarnot,Edward Lowassa na mpendwa wetu Edward Sokoine na wengine wa rika hizo waliingia siasa kabla haijawa biashara.Sasa hivi kuingia siasa bila kubebwa na...
Gate kuu LA kuingia Makao Makuu ya CIA kuna maandishi"You shall know the truth, and the truth shall set you free" yaani utaijua kweli na kweli itakuweka huru.Hivyo watu wanahangaika usiku na mchana na kwa gharama kubwa kutafuta ukweli, uwe wa kijiografia,wa kihistoria,wa kisiasa, wa kiuchumi nk...
Wamasai kama wafugaji wengine nchi hii wameonewa sana ,kwa kuchelewa kwenda shule wameporwa ardhi zao bila hata kulipwa fidia kama vile maeneo ya malisho sio matumizi halali ya ardhi. Leo hii wanafukuzwa kila mahali wanapokwenda. Tazama maeneo makubwa yaliyochukuliwa kwa matumizi ya jeshi, Tz...
Madhara ya kuchelewa kuingia uwanjani wakati mwingine in kucheza kwa pupa au kilimbukeni.Masai ni kabila LA kuliheshimu sana, ni kabila pekee TZ ambalo halikuchukuliwa utumwani, slave routes zilikwepa eneo lao kutokana na viongozi wao kutokuwa na tamaa ya kuuza watu wao na wao wenyewa kuwa...
CCM haina sifa ya kulea vigeugeu, hicho wanachopewa in chambo. Jana walikuwa CCM tukawashobokea ,wengi wakiwa hawana uwezo lkn kwa kuwa walibebwa kwa musuli za wazee na chama kukawachagua, baadae wakahama bado tukawashobokea, wakiwa CCM waliwatusi na kuwabeza wapinzani, walipoenda upinzani...
Kuchukua hela ya mwenzako bila ridhaa yake hata kama n mke au mume ni wizi kama wizi mwingine.Kuiba ada hakuvumiliki mkimvumilia mnavumilia umaskini.Kama ana matatizo na mama angeeleweka kama angemtelekeza mama sio kutelekeza watoto wake. Jitu kama hilo unakuta nalo linalishwa na wife.Hakuna...
Biashara ya daladala ukiifanya kistaarabu inavyotakiwa in hasara.Nauli sio realistic zimepangwa kisiasa kuwafurahisha wananchi.Serikali inammudu kuthibiti nauli lkn sio bei ya mafuta na vipuli hivyo gharama za uendeshaji zipo juu sana. Wamiliki ili wapate faida wanaifinyanga biashara utaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.