Recent content by Elly Andrew

  1. Elly Andrew

    JamiiForums Tanzania Walimu wa shule za msingi wanatakiwa waajiriwe wenye degree na sio waliofeli form 4 kama ilivyo sasa

    Nini maana ya kufeli? Ukiijua definition ya kufeli utaelewa nn nazungumzia. Kasome tena uelewe nini maana ya kufeli
  2. Elly Andrew

    JamiiForums Tanzania Walimu wa shule za msingi wanatakiwa waajiriwe wenye degree na sio waliofeli form 4 kama ilivyo sasa

    Huo ni ubinafsi uliochangamana na ujinga. Hao wenye degree unafikir ndio watafanya watoto wafaulu? Ualimu ni mbinu na njia za ufundishaji. Walimu wengi wa Diploma na Certificates ni walimu wazuri sana kuliko hata hao graduates....!!
  3. Elly Andrew

    JamiiForums Tanzania Safari ya miaka 9 tangu kuacha kazi. Hamasa kwa vijana wenye maono makubwa

    Nimeshakufahamu na kuna siku tulionana mkoa mkubwa Tz, ni mm pacha ake E
  4. Elly Andrew

    JamiiForums Tanzania Hivi mnawezaje kuishi Dodoma?

    Dodoma ni mahali pazuri kuishi, nimeishi maeneo mengi lakini kwa Dodoma nimefika, hali hii ya hewa ni nzuri sana kwa afya, usafiri hauna changamoto, nyumbani za kupanga ni za kutosha, hakuna foleni, unaweza kujenga nyumba katika eneo kubwa tu la kiwanja nk Zingine ni changamoto za ugeni tu...
  5. Elly Andrew

    JamiiForums Tanzania Dark web hamna lolote!! Nimeingia huko sijaona kinachoelezwa!

    Aisee naendele kustaajabu....naomba kujuzwa kama naweza kuingia na kupata maarifa ya kimasomo, vitabu adimu na maarifa ya utundu/tricks mbalimbali katika matumizi ya teknolojia...
  6. Elly Andrew

    JamiiForums Tanzania Monitoring and evaluation, Kwa yoyote anayefahamu hili

    Habari ....naweza kupata madesa kwa sasa?
  7. Elly Andrew

    JamiiForums Tanzania Short course gani ilibadili maisha yako?

    Naomba kufahamishwa kozi ya Geographical Information System (GIS) soko lake likoje?
  8. Elly Andrew

    JamiiForums Tanzania Bila Waajemi kuingilia kati, leo hii Syria, Lebanon, Palestina yote na sehemu kubwa ya Misri zingekuwa zimechukuliwa kwa nguvu na Israel

    Yaani wewe akili yako huwa inawaza kuokota tu.... Ndio mwisho wa kufikiri kwako
  9. Elly Andrew

    JamiiForums Tanzania Lini Wananchi walishirikishwa kukabidhi chuo cha TANESCO kwa Waislam?

    Pumbavu kabisa kumbe mmekubali kuwa mmehongwa....
  10. Elly Andrew

    JamiiForums Tanzania Singida ni Mkoa Maskini sana. Yaani Mwaka Mzima TRA inakusanya Bilioni 11 tu

    Lengo la kuwa MKOA ni kurahisisha utawala na SI kupata mapato. Mtuache tunaendelea na maisha yetu tumezoea...!!
Back
Top Bottom