Recent content by Ellie

  1. Ellie

    JamiiForums Tanzania Home Shopping Centre wazusha taharuki Kariakoo

    Kazi kweli
  2. Ellie

    JamiiForums Tanzania Makosa wayafanyayo wanaume wawapo kitandani na mpenzi mpya...!

    Lara1 mbona kama vile wewe unaujuzi...LOL! Umenisisimua kuona na wewe pia unahusika kwenye hii mada moja kwa moja.
  3. Ellie

    JamiiForums Tanzania Jipatie: Kitabu cha dua na mafanikio ya ukweli

    Ok, Mkuu Mzizimkavu mimi sikupingi ila I was just looking for facts behing the whole thing! so nipo very interested na hii kitu really, can u give me more of that....
  4. Ellie

    JamiiForums Tanzania Suzuki kei

    Mkuu hiki ni mjini hapa ndio kina raha, kwanza kwenye foleni za hapa town mzee mafuta wala huwazi, na pia sio kwa ajili ya safari ndefu wala offroad, so ni safi sana coz kiko economical
  5. Ellie

    JamiiForums Tanzania Suzuki kei

    Suzuki KEI
  6. Ellie

    JamiiForums Tanzania Suzuki kei

    Habari wanajamvi,wakuu naomba kuuliza kuhusu ubora wa haka ka gari kwa matumizi ya hapa town Dar..?
  7. Ellie

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua mishahara ya graduate kwenye mabank

    Yap, mkuu mimi nakubaliana na wewe completely, ukweli ni kwamba uwe graduate au vyovyote, sisi kwenye makampuni tunaajiri skills zako na tunaangalia ni jinsi gani zitatusaidia au kukuza kampuni then we pay u accordingly, so ishu si kuwa graduate tu.. ila ni kuwa more compitent kuhakikisha kuwa...
  8. Ellie

    JamiiForums Tanzania Re; graduate recruiment- jobs

    Forever living hao:biggrin:
  9. Ellie

    JamiiForums Tanzania Staili mpya ya wanaume walioko kwenye ndoa kutongozea!!!! Mie hoi!!!!!

    Cha msingi hapo ni kuwa commited na mtu wako, kuhakikisha huingii kwenye mitandao ya ngono yenye kuleta magonjwa na kuhatarisha familia yako, penda familia yako, mjali mkeo, penda watoto usije ukaleta magonjwa nyumbani ukahatarisha ndoa , ndio mwanzo wa kuwa na watoto yatima na wa mitaani...
  10. Ellie

    JamiiForums Tanzania Be warned!! Those who love mishikaki ya chelewa ya mwenge,ubungo na kariakoo

    Hako kwa kule kwetu ndo kitoweo, Be!!!
  11. Ellie

    JamiiForums Tanzania Huyu Mtoto Anahitaji Msaada

    Aanze kulia , tu kitatoka
  12. Ellie

    JamiiForums Tanzania Kimbembe

    Hapo jamaa atajuta kutumia Trial Versions kwenye vyombo muhimu...!
  13. Ellie

    JamiiForums Tanzania je, una bahati

    :a s 465:
  14. Ellie

    JamiiForums Tanzania Jipatie: Kitabu cha dua na mafanikio ya ukweli

    No 1 is a logical question, i like it.
  15. Ellie

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Nyumba

    Sorry, link ni BULKBUILD
Back
Top Bottom