Be warned!! Those who love mishikaki ya chelewa ya mwenge,ubungo na kariakoo

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
598843_10151244623600568_1443799001_n.jpg
 
Yaaaaaani niliapa kutokula mishikaki ya pale kariakoo baada ya kushikishwa siku moja

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
we hushangai dukani nyama kilo sh 6000 na unakula mshkaki sh 50 hadi sh 10 unakula tuu tafakari chukua hatua!!
 
Hiyo hatari saana! Tena bora hao wanachinja kuna sehemu nyingine kiumbe akigongwa na gari ndo hugeuzwa mshkak
 
Du!Kama hali ndio hii basi ni hatari,mimi huwa naiona tu huku watu wakiishambulia maana inakuwa ina mafuta safi na inanukia safi.
 
Niliagiza nikapiga kipande cha kwanza mbona si ngombe nikaacha kile kipande nikachukua kingine nacho vile nikauliza jirani akaanza nicheka akasema huyo ni ngombe wa mjini yaani toka siku hiyo nikaacha kula barabarani aisee,nilitema mate kila dakika aisee

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kwani tatizo liko wapi? Mbona mbowga safi tu hiyo...
Afu nasikia nyama ya Knight Support inaimarisha kumbukumbu.
 
Back
Top Bottom