Recent content by eljouf

  1. eljouf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    Hawa viumbe wote ni shida huwezi kupata ambaye hana tatizo, huyu akiwa na hili yule anajingine! Cha muhimu ni kuitambua kasoro yake na kuishi nayo hivo hivo.
  2. eljouf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa JF mna shida gani?

    Usiwalaumu sana ndo staili ya maisha afu wa dizain hio ndo wenye market siku hizi kwa wadada
  3. eljouf

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

    Sawa lakin wadau wanamsubiri kwa hamu arudi! Sijui wanamtaka nin lissu wa watu? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. eljouf

    JamiiForums Tanzania Serikali: Katika bajeti ya 2018/2019 wafadhiri wametoa 6.7% ya matarijio. Hili ni pigo inaonekana tumesuswa

    Sawa! Tanzania ndo nchi pekee ambayo serikali inatoa bil 500 kununua ndege ya kisasa kabasa b788 dreamliner afu ipaki tu iwe ya maonyesho, wasafari wakishuka waipige picha ya ukumbusho! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. eljouf

    JamiiForums Tanzania Dreamliner Boeing 787 yaanza safari za nje, yapeleka nyama ya mbuzi Dubai

    Na hao mbuzi mzee hawaendi dubai na airtanzania wanaenda na ndege nyingine airtanzania inaleta hadi dar hapa wanapakiwa kwenye ndege za warabu, flyemirates au oman air ndo zinawapeleka huko Dxb dubai Sent using Jamii Forums mobile app
  6. eljouf

    JamiiForums Tanzania Dreamliner Boeing 787 yaanza safari za nje, yapeleka nyama ya mbuzi Dubai

    Sijaelewa hio nyama imepakiwa ndani au,? Maana hiyo picha hapo haifanani kabisa na sehemu ya kupakia mizigo kwenye ndege hiyo ya B787-8 (cargo holds) na isitoshe kwenye ndege hiyo mizigo yote uwekwa kwanza kwenye contena maalumu( ULD - unit loading devices) kisha upakiwa na mashine maalamu sio...
  7. eljouf

    JamiiForums Tanzania European Parliament resolution on Tanzania

    Ok, lakin swala la ushoga kwetu hapana na kama wanawathamini wawachukue wakawifile vizuri huko kwao
  8. eljouf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I wish I had a husband already

    The way u use that yesu name is goin 2 cause u big problms
  9. eljouf

    JamiiForums Tanzania Uelewa wa wa Tanzania kwa sasa umebadilika sana ni tofauti na kipindi kile cha Nyerere

    Kumbe mtekaji anajulikana kwann asitajwe hadharani! Uoga na hofu ni silaha thabit zidi ya uhuru. Tanzania haitokuwa huru mpaka tutakapo acha kuogopa
  10. eljouf

    JamiiForums Tanzania Rafiki wa kike atakae kuwa mke

    Natafuta rafiki wa kike aliye nautayari ambaye twaweza jenga mahusiano thabit yatakayo lenga kuishia ndoani. Nimtaftae awe vyovyote vile mradi tu awe anajielewa na kujiheshimu na awe na kazi inayo muingizia kipato plus Umri 20-25 Dini yoyote Awe anaishi dar na ama karibu na hapo Kuhusu mie...
  11. eljouf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania to be the first country to own A220-300 in Africa

    I might, as well as u
  12. eljouf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania to be the first country to own A220-300 in Africa

    It is named kenya airways but i dont think it is owned by kenyans, and that is the difference
  13. eljouf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania to be the first country to own A220-300 in Africa

    Yu re right
  14. eljouf

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere awajibu wanaolalamika pesa za msiba wa Masogange

    Wameshapiha hawa
  15. eljouf

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

    Mi nadhani huyu bidada akazane tu kulea watoto wake bado wadogo sana! Haya mambo tumuachie mungu wakati ukifika majambazi yatatoka tu
Back
Top Bottom