Recent content by Eliyo

  1. Eliyo

    JamiiForums Tanzania Acount yangu ya fecebook watu wanahi hack kila siku

    ndiyo
  2. Eliyo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    dah anachana mkeka liberpool
  3. Eliyo

    JamiiForums Tanzania Acount yangu ya fecebook watu wanahi hack kila siku

    Jamani account yangu watu wanani hack kila siku wanaichukua narudisha msaada kama kuna sehemu pakufunga watu wasiweze ku hack account yangu
  4. Eliyo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nikipiga goli moja uume unachelewa kusimama

    Nashukuru
  5. Eliyo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nikipiga goli moja uume unachelewa kusimama

    sijawahi kujichua mkuu
  6. Eliyo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nikipiga goli moja uume unachelewa kusimama

    Sijawahi kujichua
  7. Eliyo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nikipiga goli moja uume unachelewa kusimama

    Nina wiki mbili sasa nikifanya mapenzi na mpenzi wangu najishanga nikimpiga goli moja tu uume unalala na unachelewa kusimama. Nanukuu anavyonambia ''wewe sio bure, mara wewe kama umenichoka niambie mi nataka bado'' mwisho wa kunukuu. Najikuta mpaka nataka nijiingize kwenye vishawiahi vya...
  8. Eliyo

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya ukaachana na mpenzi uliempenda sana?

    [emoji16]
  9. Eliyo

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya ukaachana na mpenzi uliempenda sana?

    [emoji23]
  10. Eliyo

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda kuomba pesa nimemwambia ukweli kanuna

    Jamani nashukuru kwa ushauri wenu
  11. Eliyo

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda kuomba pesa nimemwambia ukweli kanuna

    Mpenzi wangu anapenda sana kuniomba sana pesa kila siku ata kama ni ndogo ndogo lakini inakera kila siku mala elfu 5000 mala 2000 sasa jana kaniomba nikavunja ukimya nikamwambia wewe kila siku pesa duh hilo kosa kanuna na mimi nimemuacha anune tu ila ukweli nimemwambia.
  12. Eliyo

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya ukaachana na mpenzi uliempenda sana?

    Aliniomba pesa nikamwambia na wewe kila siku ela akaniacha
  13. Eliyo

    JamiiForums Tanzania Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

    Gym mi ndiyo nakubalii sio push up unajochosha tu ni akili yangu
  14. Eliyo

    JamiiForums Tanzania Ni chakula/kinywaji gani haruhusiwi kutumia mpiga gym?

    ok thanks mkuu
Back
Top Bottom