Kwanza change password.
Tumia password ambayo ni mchanganyika wa herufi, alama na namba ila zisilete jina la maana ila ziwe rahisi kukumbuka
Mfano: nfkd-7xp
Ukishachange password chagua option ya log me out of all the device. (Hii ita ku logout kwenye device zote unatumia. )
Change recovery e-mail. Weka mail unayoiamini ambayo.
Alaf kamilisha kwa kuweka two step login (code verification) hapa hutaweza login/au mtu hataweza login bila wewe kutumia logic code kwa simu yako.
Yaan mtu akiingiza password inaenda mbele inamdai Code ya kuingilia ambayo utakua nayo kwa simu.
Rudi kwa e-mail yako ifanyie kama ulivofanya kwa akaunti ya FB , Tena ikiwezekana anza kwenye email .
Hapo utakua secure mno kuliko kawaida.