2012 Subaru Impreza G4 for sale.
Automatic Trans.
Number plate utachagua ww.
Low Mileage.
Bodykit kali + Muffler & Air intake mods ndogo.
Smart Radio + Push to start.
Bei ni 22.5M plus usajili.
0742720822 For more details.
SOLD
Hakuna kijana anaeshindwa kuendesha biashara, swala ni kukata, kushindwa kujifunza na makosa na pia kukata tamaa.. Naamini hakuna mtu biashara inamshinda, utofauti unakuja kwny fikra tu.
Kumbuka NMB bank serikali ina mkono wake pale, wana stake yakutosha. Ndo maana huwezi ona share price zao zikiwa na volatility kubwa kama za CRDB. CRDB zina trade kwny price ceiling yake labda kuwe na ongezeko la investor confindence na uchumi wa nchi uingie kwenye boom, inaweza ikapanda zaidi...
Ni true, zina potential kubwa yakukupa elfu kadhaa in a single ordinary share as profiti..ila bado raia wataenda kununua hisa za crdb😂😂ambazo washazichelewa.
Kwa newbie yyte anaepitia uzi huu..ingia pdfdrive katafute vitabu vya forex for free. Anza na kitabu chochote tu, the simpler the better..anza na moving average pamoja na fibonnacci kisha miks na trendlines. Ukizoea hvyo utakwepa kelele za cjui BTMM cjui ma nini
😂😂😂usiolijua bhana...unajua vizuri tender za branding mkuu?? Au unazungumza kisa umeona hio dola 80,000 ni nyingi kwako?? Watu wanasecure branding deals on retainer na wanalamba hadi +20Mil na zaidi kulingana na package na hapo ni client mmoja tu.
Engine kinanda used 1NZ kutoka japan ni karibia milioni mbili kutoka befoward na hapa bongo zipo kibao tu for a lower price. Kwaio chagua ww tu, au fanya overhaul ila uende kwa mafundi wasafi wanaoipenda nakuijua kazi yao tu. Lakini Kutoboka mfuko ni muhimu
Angalieni water pump ya engine, sio hata bei sana..pamoja na tension belt zake. Huenda hio ndo ishu ilobaki. Kama hela ipo usilisuse gari mkuu. Tupia oil yenye rating ya juu kama ni mtu wakujisahau, tupia ATF ya rating ya juu pia. Na pia badilisha filters zote za mafuta, Trans na Oil. Pia cheki...
Anza na kuangalia mileage na mahala gari ilipokua yani mazingira ya location yake ili ujue gari ilikua inatumika katika mazingira gani. Maana mazingira pia huchangia kwny kuchosha baadhi ya component za engine kama gari imetembea mileage kubwa kwny lets say maeneo yenye baridi kwa kipindi...
Audi A4 ni gari nzuri sna sema sipendekezi mtu aje kununua zilizotembea over 50k miles maana naona gari nyingi used zinazokuja bongo hazijagi na service records, zaidi ya tag unazokuta kwny engine component zilizobadilishwa, na zinaandikwa kwa kijapan unless umeibeba kutoka stock za UK. Na pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.