Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Gari nissan qashqai inachelewa kuchanganya. Pia imekua nzito. Nimefanya diagnosis hakuna kinachoonekana. Oil iliyotumika ni 5w30 na ni service ya pili... Gear box oil haijawahi kubadilishwa...

Gari imekua nzito mno...
 
Hii ni post ya zamani kidogo, ila kama hujapata ufumbuzi, angalia fuel pump pamoja na fuel pressure regulator
 
Nimebadili spark plugs....

Cha ajabu zaidi nikabadili na engine mount - fundi mmoja alisisitiza sana nibadili ilikua imechoka...

Gari imetulia sana sana imekua kama ilivyokuja...
 
Shukrani.

Ni kweli, spark plugs mbovu husababisha injini iwe inamisfire na kukosa nguvu. Katika maelezo yako ya awali, hilo la kumisfire hukuwa umeliweka. Ilionyesha kama vile injini inawaka vizuri, halafu baadaye inakosa nguvu.
 
Mark ii gx 110, inakuwa na misi mara kwa mara ajabu ukifungua terminal ya betri kwa dak1 alafu ukarudisha hakuna miss ila ukitembea umbali kama 50km tena miss, nimejaribu kubadirsha coil, plug, oxygen sensor control box lakini bado kwenye mashine inaonyesha too rich and too leni
 
Nadhani unaweza ukawa na vacuum leak sehemu..
 
Naomba nijue changamoto ya Toyota allex yenye engine ya 1NZ Z nataka niinunue hii gari
 
Tatizo lako liko kwenye air flow. Kama Una vacuum leak, kuna hewa itakuwa inapotea haifiki klwenye combustion chamber kama ambavyo computer inategemea; vile vile unaweza kuwa na air flow sensor mbovu ambayo haipeleki taarifa ya kutosha kuhusu hewa kwenye computer.

Ulifanyua makosa kubadilisha vitu kabla ya kuvikagua ama kweli vinahitaji kubadilishwa. Kwa hali ya sasa hivi, kwanza kabisa kagua air flow sensor yako pamoja na mainifold pressure sensor kama zinafanya kazi. Vacuume leak test huwa ni process ndefu kidogo ya kuweka povu la sabuni kwenye hoses zote zinazopitisha hewa na kuchunguza uelekeo wa mapovu.
 
Nakushukuru sna ngoja nifanyie kazi ushauri wko hii mainfold pressure sensor nile oxygen sensor au?
 
Nina gari Toyota Townace Van cc 1980 ikiwa na gia AUTOMATIC. Ni la mwaka 2005.
Sasa ina tatizo la kubadilisha gia.
Ukianza safari, inachelewa kubadili kuingiza gia namba mbili na gia zinazofuata.
Naomba ushauri/msaada.
 
Usishangae kuhusu utambulisho huu. Mimi sasa ni ASE Certified Service Consultant wa magari madogo yanayotumia petroli hasa ya Ford, GM, na Chrysler.

Nimepata license yangu hivi majuzi tu mwaka huu baada ya kuitafuta kwa muda kidogo through part-time activities kwani hiyo siyo kazi yangu kuu.

Certification hiyo inahitaji siyo tu kufaulu mtihani wake, lakini pia uwe na uzoefu wa kutosha kwenye auto-repair shop.

Nimekamilisha experience hiyo inayotakiwa mwaka huu na kupata license yangu.

Kwa vile injini nyingi za petroli zinafanana katika utendaji, jisikie free kuniuliza swali lolote kuhusu matatizo ya injini ya gari yako model yoyote inayotumia mafuta ya petroli.

Siahidi kuwa majibu yangu yote yatakuwa ni sahihi, lakini sehemu kubwa itakuwa ni sahihi, na hata yale ambayo hayatakuwa sahihi yanaweza kukusadia kujua wapi pa kuanzia.
Habari kiongozi.
Nina tatizo kubwa saaana nahitaji msaada wako,

Nina gari IST ya 2006 old model, cc1290
Nilipitisha muda wa oil hadi ukoko ukanasia kwenye sample tukasafisha na petrol tukamwaga nikaweka filter mpya na oil mpya...

Nikatembelea kwa week tatu oil mpya yoote ikapotea kwenye gari na hakuna leakage yoyote.... Gari ikawa inatoa moshi mkubwa saaana mweupe huku inalia mlio km wa cherehani.

Nikaenda kwa fundi akakagua gari akasema service ni ya Overhaul gesket seal zoote na piston Ring. Kwa kuwa ilikuwa ugenini mbali na dar nikamuuliza km naweza tembea nayo nikafanye servic dar akasema ndio ila niwe nahakikisha oil inakuwa level... Nikajaza oil, nikachenj plug zilikua zinamis nikaanza safari ya km 600 non stop......

Nafika nyumban tu taa ya engine kupata joto ikawaka... Nikaenda kwa vitu akasema oil haiusian na nikaipima oil iko sawa haijapangua... Cooling system yoote nikiwa na maana feni, motor, radiator zipo poa ila ukijaza maji ukitembea km 8 tu inachemsha vibaya mno na maji yoote yamekata... Tukahisi ni thermostat ikatolewa lakini shida ndio ile ile hakuna kilichosaidia... (]Msaada wako mkuu)

Kingine, kuhusu izo gasket seal sijui valve na piston ring nimeambiwa ni gharama kubwa sana ni zaid ya laki 3 na kwa engine ndogo kufanya hvyo ni kuipoteza kabisa engine kwan hakuna vifaa original hvyo nimeshauriwa iyo engine niitupe kabisa ili ninunue engine mpa mswaki toka japan iwekwe ambayo pia ni gharama zaidi... Sasa kwa ushauri wako kitaalamu tunafanya vipi hii issue, usawa mgumu gari haitembei na ndio source ya income.

Msaada wakubwa
 
Unaposema ulipitisha muda wa service ulitembea kilometer ngapi bila kubadili oil?
 
Ni zaidi ya km 10000, hadi mlio wa gari ukaanza kuchenj, siku naibadili nikakuta ukoko kabisa umeganda nikafungua sample tukakwatua woote na kusafisha tukaweka ingine iliyoliwa
 
Habari kiongozi.
Nina tatizo kubwa saaana nahitaji msaada wako,

Nina gari IST ya 2006 old model, cc1290
Nilipitisha muda wa oil hadi ukoko ukanasia kwenye sample tukasafisha na petrol tukamwaga nikaweka filter mpya na oil mpya...

Nikatembelea kwa week tatu oil mpya yoote ikapotea kwenye gari na hakuna leakage yoyote.... Gari ikawa inatoa moshi mkubwa saaana mweupe huku inalia mlio km wa cherehani.

Nikaenda kwa fundi akakagua gari akasema service ni ya Overhaul gesket seal zoote na piston Ring. Kwa kuwa ilikuwa ugenini mbali na dar nikamuuliza km naweza tembea nayo nikafanye servic dar akasema ndio ila niwe nahakikisha oil inakuwa level... Nikajaza oil, nikachenj plug zilikua zinamis nikaanza safari ya km 600 non stop......

Nafika nyumban tu taa ya engine kupata joto ikawaka... Nikaenda kwa vitu akasema oil haiusian na nikaipima oil iko sawa haijapangua... Cooling system yoote nikiwa na maana feni, motor, radiator zipo poa ila ukijaza maji ukitembea km 8 tu inachemsha vibaya mno na maji yoote yamekata... Tukahisi ni thermostat ikatolewa lakini shida ndio ile ile hakuna kilichosaidia... (]Msaada wako mkuu)

Kingine, kuhusu izo gasket seal sijui valve na piston ring nimeambiwa ni gharama kubwa sana ni zaid ya laki 3 na kwa engine ndogo kufanya hvyo ni kuipoteza kabisa engine kwan hakuna vifaa original hvyo nimeshauriwa iyo engine niitupe kabisa ili ninunue engine mpa mswaki toka japan iwekwe ambayo pia ni gharama zaidi... Sasa kwa ushauri wako kitaalamu tunafanya vipi hii issue, usawa mgumu gari haitembei na ndio source ya income.

Msaada wakubwa
Angalieni water pump ya engine, sio hata bei sana..pamoja na tension belt zake. Huenda hio ndo ishu ilobaki. Kama hela ipo usilisuse gari mkuu. Tupia oil yenye rating ya juu kama ni mtu wakujisahau, tupia ATF ya rating ya juu pia. Na pia badilisha filters zote za mafuta, Trans na Oil. Pia cheki belts, brake pads zote pamoja na gaskets etc kila service. Ni ukumbusho tu
 
Kwanza hongera kwa kuamua kuwa msaada kwa wengine,Nina shida inakera sana katika gari yangu.
Gari yangu ni RunX huwa inatabia ya kujizima nikiwa barabaran,imenisababishia ajali mara moja na zingine nanusurika tu kwa maana gari hujizima nikiwa katika motion.
Nimejaribu kutafuta muafaka kwa sasa naelekea kukata tamaa,maana nimenunulishwa pump mpya bado tatizo lipo tu,mara naambiwa plug mara naambiwa umeme yaan shaghala baghala.

Naomba msaada wako au ushauri wa kitaalamu ili niepukane na keto hii maana kwa sasa Sina Raha kabisa na gari .
 
Mazaga yako yapo fresh kiongozi, issue ya engine kuwa heat ilikua fan inazunguka kinyume kwa iyo nimegeuza tu switch imeacha.....

Msala ni hii issue ya gasket seal na piston ring,. Gari inatoa moshi mweupe hadi watuwanakimbia... Fundi anasema servic inagusa hadi laki 4, huku mswaki engine nilaki 8+...

Na overhaul ya engine kwa gari ndogo ni mbaya anasema... Bora kuweka engine mpya ndio nimepagawa natafuta njia mbadala
 
Betry unatumia N ngap?
 
Weka mswaki tu..
 
Back
Top Bottom