Mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz akihojiwa na kituo cha Azam cha UTV amesema mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi. Amesema uchaguzi wowote hata kama ni wa Diwani, Mbunge au Rais lazima kuwe na mtandao. Huwezi kushinda uchaguzi kama huna mtandao labda uwe Dikteta.
Amesema mtandao...
Inahitaji sufuria Zito sana. Mwaka 2021 niliwahi kupata nusu debe la huo mkaa, masufuria yalitobolewa sana. Moto ule una nguvu sana sana. Bonge Moja ukiliwasha unaweza kupika maharage hata mara Tano bado moto mkali.
Udhaifu wa vyama vya upinzani nchini unatutisha CCM wajibu mkubwa sana wa kuwa kiongozi na mhimili mkubwa na wa pekee wa umoja, maendeleo na ustawi wa Watanzania wote, hata wale ambao siyo WanaCCM. Hilo ni jambo la kwanza muhimu la kuzingatia tunapotafakari haya maneno ya Mwalimu Nyerere...
Kwa faida ya Chakubanga and his co. soma hii kama mnazo akili timamu mtatafuta KAZI ya kifanya badala ya kuhangaika na kutengeneza content za kusambaza baada ya kuishiwa ajenda
#Upotoshaji dhidi ya Chakubanga, Polepole.
By
Abdul Nondo.
Sasa Bwana Chakubanga @hpolepole Njoo hapa. Binafsi huwa...
KWA NINI DKT SAMIA ANACHUKIWA?
Na Elius Ndabila
0768239284
Hivi sasa, wakati mchakato wa uchaguzi unakaribia wamejitokeza baadhi ya Watanzania ambao ni WanaCCM na wengine Wanachama wa vyama vingine vya siasa kupeleka shutuma kadhaa kwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT Dkt Samia Suluhu...
Hakuna Rais ambaye hakuwahi kuwa na deni akiwa madarakani. Nyerere alitukanwa mpaka ilifikia watu kutaka kumpindua. Alivyong'atuka alianza kusifiwa na matusi yakahamia kwa Mzee Mwingi.
Mkapa alitukanwa, matusi yaliacha baada ya kumwachia kijiti JK na JK matusi yaliisha baada ya JPM. JPM...
Maria Sarungi mwenye laana ya kutoshiriki Ibada maalum ya kumzika Baba yake anafahamu anakowapeleka. Muhimu wamesaidia kuipunguzia CCM gharama za Uchaguzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.