Recent content by Elison Ndalichako

  1. E

    JamiiForums Tanzania Toka niache kwenda kanisani, maisha yangu yamekuwa bora sana

    Iko njia ionekanayo safi machoni pa mwanadamu, lakini mwisho wake ni njia ya mauti
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mungu ameniambia nitakuwa Mtanzania wa kwanza kuanzisha dini mpya kabisa itakayoendana na kila kitu na itadumu milele na milele

    Mi nachojua toka kwenye Yoel 2:8 ni kuwa Siku za mwisho atamwaga Roho wake kwa wote wenye mwili,... Na ni kwa ajili kazi yake, AGIZO KUU Seems huna maelekezo ya kutosha ambayo Mungu amekupatia. Kila mmoja ambaye Mungu alimuita na kumtuma alimpa ishara/jina/neno Wewe umepewa Neno gani ndugu
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mungu ameniambia nitakuwa Mtanzania wa kwanza kuanzisha dini mpya kabisa itakayoendana na kila kitu na itadumu milele na milele

    Kuwa makini, Mungu hana dini, Dini ni mpango wa wanadamu kumtafuta Mungu. Wokovu ni mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu. 2 Kor 11:14 Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kwa vijana mnaojitafuta achaneni na mapenzi

    Acha watu wapende na kupendwa Kama umechumq janga, kula na wakwenu
  5. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa mzazi kumfundisha mtoto wake kuhusu condoms na uzazi wa mpango?

    Nakumbuka nikiwa darasa la 7, kama 2007, nilikua nakuta condoms room kwangu. Na bahati nzuri mzee alikua ananiambia hakikisha unatumia hizi, najua ushasoma shuleni. Kwaio ni muhimu
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nawatakia ijumaa njema wakiristo wote wa jf.

    🚮
  7. E

    JamiiForums Tanzania X (TWITTER) NDIO MTANDAO MBAYA ZAIDI NA HATARI ZAIDI

    Safi kaka. You attract what you are, and not what you want
  8. E

    JamiiForums Tanzania Happy birthday, Halopesa!

    Wewe ni gen alfa
  9. E

    JamiiForums Tanzania Wahubiri wangu wa mfano Tanzania

    Bila Rev. Dr Mosses Maghembe Wewe bado Hahaha
  10. E

    JamiiForums Tanzania Wahubiri wangu wa mfano Tanzania

    Bila Rev. Dr Mosses Maghembe Wewe bado Hahaha
  11. E

    JamiiForums Tanzania Wanaume eti hii ni kawaida?

    Mpe yule mwanafunzi wako wa gym
  12. E

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kunufaika na shirika la bima la taifa, NIC?

    Mjumbe255
  13. E

    JamiiForums Tanzania Riverside ipandishwe hadhi! Nyama zinabondwa 24/7

    Hujui hata kuandika TACAIDS Nenda kapime
Back
Top Bottom