Ndugu zangu niwaambie, Dr. Steven Ulimboka mimefanyanaye kazi kwa karibu sana, he is composed, anaakili nyingi, anajua wakati gani wa kutamka kipi! ni mtu shujaa asiye na uwoga, anaamini katika anachokitetea, anajua aitetee kwa namna gani, ni mtu mwenye sauti ya ukombozi, anauwezo wa kushawishi...