DR Ulimboka Jiandae kuchukua jimbo

Lakini ana kashfa ya kusababisha vifo vya watu kwa kuongoza mgomo. Akigombea CDM, hata mimi sitampigia kura, ingawa pia sitaipigia CCM. Nipo tayari niwapigie TLP au AFP, lakini si Ulimboka!

Hakuna oxygen watoto watano wamepoteza maisha, hakuna dawa juzi
 
Siungi mkono hoja!
Nashauri aendeleze harakati kwenye fani yake!
Si busara kudhani kila mwana harakati awe mwanasiasa.
Ni mtazamo wangu tu anyway!
Hilo ndilo neno. Wanaharakati wengi wakiingia kwenye siasa huwa wanaharibu.
 
Anaenda kugombea jimbo la Mtera kwa tiketi ya Chadema, Lusinde upo hapo!
 
Lakini ana kashfa ya kusababisha vifo vya watu kwa kuongoza mgomo. Akigombea CDM, hata mimi sitampigia kura, ingawa pia sitaipigia CCM. Nipo tayari niwapigie TLP au AFP, lakini si Ulimboka!

Wewe vp?, Kwani ana kesi mahakamai kwa ajili ya mauaji... Nyinyi ndiyo wale wazembe mliolewa madaraka nchi hii... Mnahangaika na matatizo badala ya chanzo cha matatizo....?

Hivi mbunge achukue Posho 300,000/= kwa ajili ya kusinzia Bungenu kama Wasira na Dk achukue elfu kumi kwa kuwazalisha kina mama kama 5 kwa usiku mmoja wapi na wapi?

Acheni Ushamba huko,,,, Nendeni mkawe madaktari then mfanye hiyo kazibure nyiye...
 
Ulimboka is a liability to whatever party itakayoamua kumsimamisha kugombea ubunge.

Ulimboka is an asset CDM muongee naye ! Fikiria hapo akiwa na Tundu Lisu, Mnyika, Zitto lazima Magamba walie
 
Ndugu zangu niwaambie, Dr. Steven Ulimboka mimefanyanaye kazi kwa karibu sana, he is composed, anaakili nyingi, anajua wakati gani wa kutamka kipi! ni mtu shujaa asiye na uwoga, anaamini katika anachokitetea, anajua aitetee kwa namna gani, ni mtu mwenye sauti ya ukombozi, anauwezo wa kushawishi, ni mtu mwenye kuleta ufumbuzi penye utata! hakika katika nchi hii sijaona wakumlinganisha naye labda mwalimu Nyerere. we call him ''father of Medicine in Tanzania''. naamini akiamua kugombea jimbo lolote atashinda kwa vibaya!
 
sio kila mtu anaweza kuwa mwanasiasa, jamaa ameonyesha umahir wake kuwatetea ma-dr wenzake na sekta ya afya kwa ujumla ! akae tu huko huko!
 
siungi hoja mkono kama kweli asimamie uboreshaji wa afya hukohuko isidhaniwe ile migomo tumeisababisha ss hata kama walikua na haki.
 
mh! haya majimbo yatakuwa kama njugu sasa, cdm angalieni mamluki, kwa sababu watu wanajua ninyi ndio njia ya mjengoniii
 
Back
Top Bottom