Jamani Naomba Msaada Nikivua Nguo (t Shirt) Inapiga Shoti.

Mavella

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
459
75
Jamani Si Utani Ninatatizo Kila Nikivua Tshirt Inatokea Cheche Kama Vile Kupiga Shoti Je Hii Ni Nini?
 
Lazima itakuwa ni aina ya tshirt ya michezo,yenye mchanganyiko wa polyester kwa wingi,wakati inapokuwa mwilini hukusanya joto na pia nyuzinyuzi zake hukamatana,wakati unapoivua nyuzi zile huachana katika hali fulani ya msuguano unaosababisha hicho unachokiona kama cheche,naamini huna tatizo lolote,zaidi labda wataalamu zaidi watajongea.
 
Haya sio maswali ya kidaktari, ni maswali ya gereji,lol
Mbona Swali lake kajibiwa na mkuu.@olyset net

Lazima itakuwa ni aina ya tshirt ya michezo,yenye mchanganyiko wa polyester kwa wingi,wakati inapokuwa mwilini hukusanya joto na pia nyuzinyuzi zake hukamatana,wakati unapoivua nyuzi zile huachana katika hali fulani ya msuguano unaosababisha hicho unachokiona kama cheche,naamini huna tatizo lolote,zaidi Mavella
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom