Recent content by Elisha Ray

  1. Elisha Ray

    JamiiForums Tanzania Je, ni umbali gani unatakiwa kupandwa miti ifuatayo pembeni ya fensi ili mizizi isipasue msingi, mwisho ukuta?

    Nilikata kwa 'uchungu' miembe dodo miwili baada ya kujishauri kwa miaka kadhaa kutokana na kuwa naziba nyufa kila baada ya meizi michache.. Mafundi walikuwa wanakula hela zangu tu.. Ila embe nazikumbuka hata leo zilivyokuwaga nyingi na tamu dah...
  2. Elisha Ray

    JamiiForums Tanzania Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

    Nimenunua sukari juzi Mr. Discount pale Mlimani City 3,500/-... tena wauziwa si zaidi ya kilo mbili!
  3. Elisha Ray

    JamiiForums Tanzania Tukio la kupotea kwa watu wengi hapa duniani kwa wakati mmoja limekaribia sana kutokea

    Siku wala saa haijulikani lakini tuliambiwa dalili zake na ndo tuko nazo Siku hizi.. Ndio maana tukaambiwa tukeshe (meaning to be alerted or on alert that the event will happen when we least expect it to...)
  4. Elisha Ray

    JamiiForums Tanzania Tukio la kupotea kwa watu wengi hapa duniani kwa wakati mmoja limekaribia sana kutokea

    We only have 24 years left to reach that 100. So that event will take place any time soon.. Get ready y'all!!!
  5. Elisha Ray

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wenzangu wa Soka, huyu mwamba ni nani?

    Mikel Arteta
  6. Elisha Ray

    JamiiForums Tanzania Pesa imeanza kuonekana ipo nyingi sana mtaani, mama ana kismati sana

    Hahahaaaaaaa duh!!
  7. Elisha Ray

    JamiiForums Tanzania GE2020 Biharamulo - Rusahunga Dkt. Magufuli aikacha Ngara, aelekea Kigoma

    Uncle pale Mjengoni
  8. Elisha Ray

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    My! You are having a bad dream.... A very bad dream..
  9. Elisha Ray

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Honestly, aliyepotea ni wewe. Umepotelea kwenye umaskini wakati wezako tuko uchumi wa Kati...
  10. Elisha Ray

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kila baada ya mita tatu kuna ndoo ya maji na kitakasa mikono, hivi mbona Marekani utaratibu huu umewashinda, au ndoo kwao ni ghali sana?

    Siwezi na sikumaanisha picha za mji mzima. Nilichomaanisha ni kwamba hizo mita tatu ulosema si kweli ni ka-sehemu kadogo tu ka mji labda waweza kuta ndoo zipo karibu karibu hivyo...
  11. Elisha Ray

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kila baada ya mita tatu kuna ndoo ya maji na kitakasa mikono, hivi mbona Marekani utaratibu huu umewashinda, au ndoo kwao ni ghali sana?

    Nishababuka sana na mtindo huu wa kunawa kila pahala... Natembea tu sasa na sanitiser yangu binafsi. By the way hivi vitu tukitumia sana vina madhara in a long term na pia barakoa zina shida ukivaa muda mrefu wa zaidi ya saa tatu mfululizo....
Back
Top Bottom