Recent content by Elisha Kigahe

  1. Elisha Kigahe

    JamiiForums Tanzania Zifahamu zaidi sababu za utata katika lugha ya kiswahili

    Uwasilishaji mzuri, Nashauri usichanganye na kiingereza katika kutoa ufafanuzi mfano; dhana ni wazo, meza samani au kitendo cha kuingiza kitu tumboni kupitia mdomo, barabara ni njia nk
  2. Elisha Kigahe

    JamiiForums Tanzania Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

    Kama wata watatumia usaili ili kuajiri Itakuwa vzr itaondoa kubebana
  3. Elisha Kigahe

    JamiiForums Tanzania Suala la tozo kuna makundi mawili yameibuka

    Habari ndugu zangu watanzania na rafiki wa Tanzania. Kumekuwa na makundi mawili yameibuka katika suala hili la tozo. Binafsi naona kundi moja ni Lile la wanafiki na jingine ni Lile la ukweli. Kiuhalisia, kwa Sasa Hali ya maisha imekuwa ngumu kiasi chake. Fedha imekuwa ikipatikana kwa shida Sana...
  4. Elisha Kigahe

    JamiiForums Tanzania Utambulisho wa Elisha Kigahe

    Habari! Jina langu ni Elisha Kigahe. Nimevutiwa kuwa mmoja wa wajumbe wa JF. Naomba mnipokee.
  5. Elisha Kigahe

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo la vijana kushindwa kujiajiri

    Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kukosa ajira. Makala hii, itaangazia changamoto zinazo wakabili vijana katika sekta ya ajira binafsi. Kutokana na wingi wa vijana wanaohitimu vyuo vya kati na vyuo vikuu, suala la ajira limekuwa tatizo sugu hapa Tanzania. Mifumo yetu ya elimu...
Back
Top Bottom