1. Polisi Tanzania (PT) ni chombo cha Muungano wa Tanzania kilichoundwa ili kuhakikisha usalama wa rai na mali zao, kudumisha Amani na utulivu katika jamii.
2. Kuzuia, kubaini, na kupambana na uhalifu,
Ni chombo cha Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, kilichopewa mamlaka na wajibu wa...