Recent content by elinora

  1. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Spea za pikipiki aina ya Skymark Winner

    Jamani naombeni kujua wapi wanauza vipuri vya hizi pikipiki maana nmehangaika sana kupata hata sidecover na rims zake Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

    Nina Nissan Hardbody ya mwaka 1988....ilipaki toka 1996 mwaka huu 2020 nkanunua battery mpya nkafanya overhaul gari ikawaka nkashangaa sana....bado iko vzurii sana.... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kati ya Gari ya Diesel na Petrol, ni ipi inatumia Mafuta sana?

    Mwenye uelewa na nissan engines td25 aje na ujuzi zaidi niweze kujua mambo mengi kuhusu gari langu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kati ya Gari ya Diesel na Petrol, ni ipi inatumia Mafuta sana?

    Mm nina Nissan Pickup engine model TD25 ya 1988 imenunuliwa 1992 imepaki mwaka 1996 ina mileage 153000 ila nmetafuta mafundi wakafanya overhall ikawaka na sasa natumia kwa shughuli zangu za kilimo....fuel consumption ni 20km per litre kwa utafiti nliofanya wiki hii...kwa uelewa wangu gari za...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

    Tusimlaumu sana akipata msaada anaweza kusimama na miguu yake tena
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kabila la Kiiraqw laweza kupotea kabisa Tanzania

    Majadiliano ya kikabila yamepitwa na wakati.......
  7. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyoyasema mama siku moja kabda kijana wake hajafunga ndoa

    Well narrated
  8. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fahamu sababu hizi mbovu ambazo hupaswi kuzitumia ili kuoa au kuolewa

    Amen
  9. E

    JamiiForums Tanzania Arusha - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Shwari kabisa tuonyeshe uvumilivu wa kisiasa
  10. E

    JamiiForums Tanzania Hivi uwepo wa maafisa wa Ikulu wenye asili ya Rwanda na Burundi si tatizo kwa usalama?

    kwani usalama wa taifa wana2mia vigezo gani kuajiri?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Top Universities in Tanzania 2013 List of top universities in Tanzania, United Republic

    Anzisha uzi mwingine we mzee wa majungu kuchwao machweo. Kamwe huwez zuia mvua kunyesha! Najua roho zinauma sana ila ndo ivo tena saivi hakuna ukiritimba ktk elimu ya bongo kama zamani. Enzi hizo kulkuwa na ttcl na saivi kuna voda,tigo,zantel,airtel n.k na hao ttcl wako hoi bin taaban wamebaki...
  12. E

    JamiiForums Tanzania UDOM bado

    haters makes me famous because they spread my name...... mpo hapo mashemejiii......
  13. E

    JamiiForums Tanzania IFM the best place to be

    na ww kobilo una akili mgando huu c muda wa kucfia vyuo. jenga upeo wako kjana
  14. E

    JamiiForums Tanzania UDOM will soon start making SOFTWARE to be used for MICROSOFT platforms

    wrong comparative analysis udsm 1960s na udom 2007
Back
Top Bottom